M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,674
- 116,998
Kwa nini mkuu, ile game ya kwanza hawa watoto niliona wanaachia sana matundu, nikajua kama Son akiwepo watatoboka.
Son leo kacheza anao anao mwingi, ila Moura kafanya yake.
- klopp effect
- msimu huu mumeshinda mechi zote mbili dhidi ya tottenham (2-1) na hiyo ndio khofu yangu, kabla ya mechi ya spurs dhidi ya man city tayari halmashauri yangu ya imani potofu ilikwishanipa majibu ya kitakochotokezea kwa man city
- spurs wamekuwa wakibebwa na bahati mechi hizi za mwisho za UEFA
- Kila la kheri fainali