Tottenham Hotspurs Thread

To declare my interest mm ni Liverpool FC, sijapoteza kitu nawakaribisha sana 1st June tukutane pale Madrid ili ijulikane. Hapa hakuna Ramuli wala waganga wa kienyeji kama game za Kibongo, mwamuzi ni Referee Clock 90minutes.
Ulipokuwa unacheka Ajax wakawa wanakushangaa!
Totenham wkawa wanajifungia kama ndondo!

TOT BINGWA MPYA.
 
Nyie Tottenham mumejitahidi sana msimu huu ..kuingia sem final uefa ni achievement kubwa kwenu ..kishimba mlichokusanya ni kingi na kitawaboost kweny usajili msimu ujao...

Kazeni buti mnaeza chukua uongozi wa London na pengin EPL kwa ujumla...
 
Finalist
transfer.futbol-20190509-0001.jpeg
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom