Toto tundu lamrudishia baba yake kofi, kwa staili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toto tundu lamrudishia baba yake kofi, kwa staili.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bra-joe, Jul 29, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,554
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Toto tundu lilikuwa likisafiri na baba yake kwa treni daraja la 3, mara baada ya kuingia ndani ya behewa na kuketi, aliingia dada mmoja mzuri sana na kuketi ktk kiti kinachotazamana na toto tundu, toto tundu likamkonyeza yule dada, hapo ndipo baba yake alipolizibua kofi kali sana, baada ya treni kwenda umbali kadhaa iliingia kwenye Tunnel, hapo toto tundu likapiga busu hewani kisha likamzibua baba yake kofi kali sana, treni ilipotoka kwenye tunnel baba yake akawa anafikiri toto tundu alim-busu yule dada halafu kimakosa akapigwa yeye, na yule dada akawa anafikiri toto tundu alitaka kum-busu yeye, kimakosa akam-busu mtu mwingine akapigwa kofi. Mpaka walifika hakuna mtu aliyejua nani kapigwa kofi, zaidi ya toto tundu na baba yake.
   
 2. l

  lwampel JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kweli huyo dogo ni noma.
   
 3. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,482
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  African style.. Always mawazo Kwenye Love..
   
 4. k

  kidadari JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,722
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  saluti toto tundu.....ding mkolon hatak ule vinono hata kwa macho.
   
 5. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watoto wengine ni hasara tu, Mtoto mdogo anataka mambo ya kikubwa
   
 6. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru kwa kunigeuzia kiswahili...
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Umeona hee!!! kweli mwenye asili haachi asili na akiacha hana akili
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Umeona hee!!! kweli mwenye asili haachi asili na akiacha hana akili
   
Loading...