MWILI NYUMBA JF-Expert Member Jun 18, 2012 817 255 Dec 13, 2012 #1 Vipi kama huyu ni mwanao ungemfanyaje? Attachments Toto tukutu_xvid.avi 1.6 MB · Views: 2,143
ITEGAMATWI JF-Expert Member Jan 26, 2012 5,310 4,040 Dec 13, 2012 #3 realness said: mmmh! napita Click to expand... Rudi mkuu ujibu swali kwanza. Usipite kimyakimya! Ha ha haaa! Dogo amenivunja mbavu.
realness said: mmmh! napita Click to expand... Rudi mkuu ujibu swali kwanza. Usipite kimyakimya! Ha ha haaa! Dogo amenivunja mbavu.
Analogia Malenga JF-Expert Member Feb 24, 2012 5,005 9,872 Dec 14, 2012 #4 ITEGAMATWI said: Rudi mkuu ujibu swali kwanza. Usipite kimyakimya! Ha ha haaa! Dogo amenivunja mbavu. Click to expand... ni katoto kanakopenda usafi!
ITEGAMATWI said: Rudi mkuu ujibu swali kwanza. Usipite kimyakimya! Ha ha haaa! Dogo amenivunja mbavu. Click to expand... ni katoto kanakopenda usafi!
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Dec 15, 2012 #5 realness said: mmmh! napita Click to expand... Usipite mkuu, subiri ukaguliwe kwanza
L Lami Senior Member Jan 1, 2014 117 65 Feb 14, 2014 #7 Inabidi umsamehe. Sio utani, wa kwangu alichukua simu akaweka katika oven. Watoto ni wadadisi sana, tuwape malezi yanayostahili.
Inabidi umsamehe. Sio utani, wa kwangu alichukua simu akaweka katika oven. Watoto ni wadadisi sana, tuwape malezi yanayostahili.
M msakahabari Member Jul 6, 2012 29 8 Feb 14, 2014 #8 Ukiwa na mtoto wa aina hii shukuru mungu kwa maana aliona kitu kichafu akachukua maamuzi ya kuosha. Kuwa mpole mwelewesha siku nyingine hatorudia
Ukiwa na mtoto wa aina hii shukuru mungu kwa maana aliona kitu kichafu akachukua maamuzi ya kuosha. Kuwa mpole mwelewesha siku nyingine hatorudia
20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 7,970 6,756 Feb 14, 2014 #9 Mbona mtot safi sana huyuu aim ilikuw nzuri tatizo hajapata utambuzi..ni kufunzwa tu hapo
Filomena JF-Expert Member Jul 18, 2013 295 119 Feb 14, 2014 #10 Nadhani atakuwa alikuwa anakula chakula kikarukia akajua hiyo ndo solution hahaahaha nahisi ntashindwa hata cha kumfanya.
Nadhani atakuwa alikuwa anakula chakula kikarukia akajua hiyo ndo solution hahaahaha nahisi ntashindwa hata cha kumfanya.
hyusuph JF-Expert Member Dec 5, 2013 1,655 686 Feb 22, 2014 #11 Duuuuu uyu mtt msafi kwl kaona aogeshe laptop mana hajawah kuona na yenyewe inaoga teh teh teh
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,657 Feb 22, 2014 #13 Na music kwa mbaaali akimsaidia mama kazi