Toto tukutu.

Inabidi umsamehe. Sio utani, wa kwangu alichukua simu akaweka katika oven.
Watoto ni wadadisi sana, tuwape malezi yanayostahili.
 
Ukiwa na mtoto wa aina hii shukuru mungu kwa maana aliona kitu kichafu akachukua maamuzi ya kuosha.
Kuwa mpole mwelewesha siku nyingine hatorudia
 
Mbona mtot safi sana huyuu aim ilikuw nzuri tatizo hajapata utambuzi..ni kufunzwa tu hapo
 
Nadhani atakuwa alikuwa anakula chakula kikarukia akajua hiyo ndo solution hahaahaha nahisi ntashindwa hata cha kumfanya.
 
Duuuuu uyu mtt msafi kwl kaona aogeshe laptop mana hajawah kuona na yenyewe inaoga teh teh teh
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom