Ernie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2010
- 217
- 24
Kuna dada mmoja Mzambia aliolewa na Mchina, akala mimba, muda ulipowadia yule binti akajifungua, mtoto aliishi kwa muda kama wa masaa 3 baada ya hapo akafa.
Msibani nyumbani wakati watu wamejikusanya mara akaja shangazi toka kijiji, akaanza kupiga kelele, "Mi nilijua tu, nilijua tu" ikabidi wamuite kando wamuulize kulikoni kuwa alijua kwamba mtoto atakufa?
Shangazi akajibu, "I knew that Chinese things don't last for long"