Toto Africa timu ya hovyo sana kumbe iko daraja la 3!

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Hii timu ilikuwepo kwa ajili ya kuipa yanga point. Timu ya kijinga mno.Timu iliyokuwa tayari kushuka daraja kwa ajili ya kuibeba yanga?!!

Nimeshangaa kumbe imeshashuka hadi daraja la tatu!

Yaani ujinga huu,je kuna wapenzi wa Soka Mwanza wataisapoti timu kama hii?
 
Yaani nilifurahi mno hao kenge waliposhuka daraja, na ninaombea wafie huko huko kabisa. Shwaini zao!

Wengine ambao walinusurika ni Kagera Sugar,ile Pamba FC almanusra iwafunge jiwe shingoni kisha ikawazamishe kwenye Ziwa Victoria. Hao 'senene' nao walikuwa na mambo ya kijinga sana;kuikamia sana Simba ila wakikutana na Yanga wanagawa point. Ila tangia wanusurike mbele ya Pamba FC akili zimeshawakaa sawa.

Sisemi kwamba timu ziwe zinagawa points bwerere kwa Simba SC. Big NO! ninachomaanisha hapa ni kuwa kama zitamkazia Simba basi na Yanga ziwe zinamkazia hivyo hivyo.
 
Bado Ruvu Shooting ndio wamechukua nafasi ya Toto Africans chini ya Mkwasa.
 
Binafsi ninapenda vijana wanaocheza timu ndogo waoneshe upinzani wa kweli kwa timu kubwa na si kugawa point kishabiki.

Pia hizi timu zifanye uchunguzi kwa wachezaji wanaofanya ujinga wa kuwa na mahaba na timu pinzani na kucheza chini ya kiwango kila wakutanapo na timu wanayoipenda,ili wapigwe benchi na watangazwe kwa kutokuwa na weledi katika kazi.
 
hiyoo timu na Singida United baba mmoja Mama mmoja
zinatakiwa zijifie zisirudi tena kwenye ulimwengu wa soka la ushindani
 
Kama Lipuli fc kwa simba ndo maana tuliamua kuishusha daraja msimu uliopita ikiwa palepale kwake.
 
Daraja tushuke sisi,Kuwashwa muwashwe nyie?timu zenu si zpo ligi kuu??Povu la nini??
 
watu wa mwanza ni wanafiki na wasio jielewa kabisa, yaani utawakuta wanazihujumu tim za mkoa wao ili zishuke daraja sijui kwa manufaa ya nani?
 
Najua hilo uliloandika hata sio dhumuni la Uzi wako..
Dhumuni lako ni kuichamba ni kwa namna gani ilikuwa inawaburuza sana nyie Mikia hali ya kuwa wateni zenu Yanga walikuwa wakijipigia tu..
Hii timu Mara ya mwsho kushiriki VPL nahisi ni 2016/2017..
Karibu tena Toto Africa uje uendelee kumkojolea huyu Mikia.. Kesho pia anakojolewa Kule Zimbabwe na wanaume
 
Duh pole sana!
Maana safari hii utaita wanaume wa kila aina.Mlianza na plateau ila mkapata aibu kuwasindikiza airport.Sasa wanaume zenu wengine platinum!
Kweli mwanamke asiyejitambua akikosa mwelekeo,anakuwa kahaba tu.Kila mwanaume atakuwa wake

Wanadai ile ramani yao ya afrika inawaruhusu kubadilisha wanaume toka nchi moja hadi nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom