Total Yazidi Kufanya Mambo Tanzania Kwa Ajili ya Watanzania!, Kwa Total, Mteja ni Zaidi ya Mteja, Mteja ni Mshirika!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,969
2,000
Wanabodi,
Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total
Total Customer Week 1.jpeg

Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akizungumza katika hafla ya kuzindua wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali
Total Customer Week 3.jpeg

Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akisafisha kioo cha gari, wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week 2.jpeg

Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akifungua boneti ya gari, wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week 7.JPG

Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akifanya ukaguzi wa gari na kucheki oil, wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week 5.jpeg

Hata ukiwa bosi, kama shughuli zako zinahusisha kuchafuka, huwezi kushinda tuu ofisini siku zote kwa kuogopa kuchafuka!, Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akiwa amechafuka na oil ya magari, baada ya ukaguzi wa magari wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week 6.jpeg

Wakati wa wiki ya wateja wa Total, hakuna bosi kukaa ofisini, wote ni kuhudumia wateja, Mkurugenzi wa sheria na mahusiano wa Total, Tanzania, Bi. Marsha Msuya Kileo, akisafisha kioo cha gari ya mteja, wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week 11.JPG

Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akionyesha unaweza kulipia huduma kwa kadi yako ya benki wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week 8.jpeg

Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa sheria na mahusiano wa Total, Tanzania, Bi. Marsha Msuya Kileo, wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week 9.jpeg

Wafanyakazi wa Total Tanzania, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, (hayuko pichani) wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week 10.jpeg

Wafanyakazi wa Total Tanzania, katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, ( katikati mwenye kofia nyekundu) wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.

TOTAL, YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWATHAMINI ZAIDI WATEJA WAKE
Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa mafuta nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50, imezindua wiki ya huduma kwa wateja kwa kuwathamini zaidi wateja wake kuwa ni zaidi ya wateja, sasa ni washirika wa Total
Akizungumza katika hafla ya kuzindua wiki ya huduma kwa wateja ya Total, Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp alisema, “Total tunaamini na kutambua kuwa wateja wetu ni zaidi ya wateja, ni washirika wetu. Wao ndio chanzo cha biashara na mafanikio ya Total nchini. Tunawashukuru sana kwa kuendelea kutuunga mkono na kutuamini. Tunawakaribisha wote kutupa mawazo na maoni yenu juu ya huduma zetu ili tupate kuziboresha na kuwapa huduma bora zaidi.”

Aidha aliongeza kuwa, Total imekuwa ya mafanikio makubwa sana kutokana na jitihada za wafanyakazi wa Total na kuwashukuru wafanyakazi wa Total kwa kujituma katika kuhakikisha kuwa Total imekuwa ya mafanikio.

Kwa upande wake, Mkufunzi wa Vituo vya Total, Msafiri Josephat Shigella, amesema lengo la maadhimishoya wiki ya mteja ni kutoa fursa kwa uongozi na menejmenti ya Total, kukutana ana kwa ana na wateja, kuwasikiliza na kujua mahitaji yao.

Mkurugenzi wa Mtandao wa vituo vya mafuta vya Total, Marriame Saw, amewashukuru sana wateja wa Total kwa kuichagua Total na kuahidi kuendelea kupanua mtandao wa vituo vya mafuta vya Total ambayo kwa sasa, tayari wanavyo vituo zaidi ya 100.

Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa Total. Marsha Msuya Kileo, ameendelea kuwasisitiza watumia wa mafuta, waendelee kutumia mafuta ya Total,yenye kiambata cha excellium, ili kufaidi mafuta na vilaini na huduma zenye ubora wa hali ya juu.

Kwa upande wa wateja, wateja waliohojiwa, wamesema mafuta ya vituo vya Total yana tofauti fulani na mafuta mengine yote, ila pia vituo vya Total, vina muonekano fulani unaokufanya wewe dereva kujisikia vizuri kujaza mafuta Total, pia unahudumiwa vizuri.
 

Attachments

  • DSC_0332.JPG
    File size
    287 KB
    Views
    0

SMART GHOST

JF-Expert Member
Feb 3, 2020
262
1,000
Pascal Mayalla bwana! you created such an iconic legacy, only to destroy it. Yani leo wewe ndio wakuandika upuuzi namna hii?

Yani mkurugenzi kusafisha magari ndio imekua "kufanya makubwa Tanzania"? Come on Pascal, you're better than this. Hata kama ni kuitangaza TOTAL naamini kuna njia nzuri zaidi ambazo ungeweza kuzitumia!

You're going down like a lead balloon, from one of the highly decorated JF great thinkers, to a big Joke. Another day another bullshit!
 

Kashaulo

JF-Expert Member
Jun 14, 2019
2,293
2,000
Mzee wangu unaelekea kuchanganyikiwa, kuna jambo kubwa itakuwa linakutafuna sana unahitaji msaada.

Naamini ulitaka kuposti hii takataka kwa ID yako ile nyingine, pole kwa kujisahau.

You’re by far better than this bullshit!
 

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
6,473
2,000
Pascal Mayalla bwana! you created such an iconic legacy, only to destroy it. Yani leo wewe ndio wakuandika upuuzi namna hii?

Yani mkurugenzi kusafisha magari ndio imekua "kufanya makubwa Tanzania"? Come on Pascal, you're better than this. Hata kama ni kuitangaza TOTAL naamini kuna njia nzuri zaidi ambazo ungeweza kuzitumia!

You're going down like a lead balloon, from one of the highly decorated JF great thinkers, to a big Joke. Another day another bullshit!
Huyu jamaa anaweza kuja kuwa chizi kisa teuzi za bwana Jiwe
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
18,645
2,000
Wamekupa bei gani .
Mbona nasikia wanauza hisa zao wao wanataka kuondoka hapa nchini
 

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
13,928
2,000
Ahsante Kwa Taarifa Mimi ni mteja wao mkubwa sijazi mafuta nje ya kituo cha Total , pamoja kuwa bei ya mafuta Yao imechangamka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom