Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,669
- 119,299
Wanabodi,
Kama ameisha wahi kufika ulaya, then hapa jipitie tuu, lakini kwa wale wenzangu na mimi ambao Ulaya tumekuwa tunaisikia tuu, then leo Ijumaa tarehe 27/01/2017, Saa 12:40-1:00 anglia ITV ushuhudie jinsi Kampuni ya Total inavyoigeuza Tanzania kuwa kama ulaya ambapo ITV, itaonyesha Kipindi Maalum cha Uzinduzi wa Kituo kipya na cha kisasa cha Total.
Kituo hicho ndicho cha kwanza nchini Tanzania, chenye viwango vya kimataifa.
Tusiseme mengi,
Shuhudia.
Paskali
TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION LAUNCH on 13thJanuay, 2017 at TEMEKE SOKOTA PETROL STATION NEWS ON ITV C
It
Uboreshwaji Wa Vituo Vya Mafuta
SIMU. Tv
Kauli Ya Serikali Kwa Wamiliki Wa Vituo Vya Mafuta Dar
SIMU. Tv
The Launch of TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION CLOUDS TV NEWS CLIP
TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION LAUNCH at TEMEKE SOKOTA PETROL STATION NEWS CLIP ON TUMAINI TV
TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION LAUNCH -News on Capital TV
MICHUZI BLOG: BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA HAVINA ...
Hapi| Top stories,read all Tanzania headlines here Jan 20, 2017 ...
dc hapi azindua kituo cha mafuta cha kisasa port access cha total
Firm set to establish oil factory in Dar - Business | The Citizen
Service stations work related to national industrial policy - Daily News
Total (T) offers to assist in renovating roads - IPPMEDIA
MACHELLAH machellahm@yahoo.com
Vituo| Top stories,read all Tanzania headlines here Jan 20, 2017 ...
Mafuta| Top stories,read all Tanzania headlines here Jan 22, 2017
Update
View attachment 488486 View attachment 488487 View attachment 488488 View attachment 488489 View attachment 488490 View attachment 488491 View attachment 488492 View attachment 488494 View attachment 488495
Nimealikwa kwenye uzinduzi wa kituo cha Temeke, nikaelezwa vituo vya ulaya ndio viko kama kituo hicho.
Kwenye hafla hiyo, iliyoanza asubuhi, wageni wote tulianza na chai, kisha mchana tulipatiwa lunch ikiyoandamana na vivyaji hivyo ni kweli nilipatiwa soda na chai na nilikunywa.
Na baada ya kula na kunywa, haya ndio matokeo yake
2:10
View attachment 488486
TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION LAUNCH at TEMEKE ...
YouTube app - miezi 2 iliyopita
10:41
View attachment 488487
TOTAL TANZANIA YAZINDUA KITUO CHA MAFUTA PORT ...
YouTube app - miezi 2 iliyopita
2:29
View attachment 488489
TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION LAUNCH at TEMEKE ...
YouTube app - miezi 2 iliyopita
0:37
View attachment 488488
TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION LAUNCH on ...
YouTube app - miezi 2 iliyopita
17:46
View attachment 488490
TOTAL TANZANIA LAUNCHES PORT ACCESS SERVICE ...
YouTube app - miezi 2 iliyopita
19:55
View attachment 488491
TV Prog on ITV TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION ...
YouTube app - miezi 2 iliyopita
23:59
View attachment 488492
TOTAL TANZANIA LAUNCHES PORT ACCESS SERVICE ...
YouTube app - miezi 2 iliyopita
0:28
2:47
View attachment 488494
The Launch of TOTAL PORT ACCESS SERVICE STATION ...
YouTube app - miezi 2 iliyopita
1:25
View attachment 488495
Total Tanzania Port Access Launch -TV News Clip on Channel TEN
YouTube app - miezi 2 iliyopita
Kwa wenzetu mliowahi kubahatika kufika Ulaya, jee ni kweli vituo vya mafuta vya huko ndio viko hivi au ni hawa Total wanataka kutuongopea tuu ili watoto wa TMK wakitaka kuzamia ulaya, wazamie Kituo cha Total Temeke!

Mgodo Visa, msema kweli mpenzi wa Mungu. Sikuyajua yote haya sasa ndio nimejua.Huu ni UPOTOSHAJI na USHABIKI usiokuwa na tija kwa taifa achilia mbali wananchi....hii kampuni ya GAPCO kabla haijafilisika na kuamua kuuza hisa/mali zake kwa kampuni ya RELIANCE......
Rudi katika historia (Gapco) ilikuwa na matawi makubwa (depots) katika mikoa zaidi ya 7..Daresalaam ...Mwanza...Arusha...Mtwara...Dodoma...Musoma...Tanga...na Kagera..achilia mbali vituo vidogo (petrol stations)
Katika maboresho ya serikali juu ya udhibiti wa nishati ya MAFUTA ikilenga zaidi ukwepaji uliokuwa ukifanywa na makampuni na wasafirishaji wa mafuta (hasa yaendayo nje ) kwa kuipa kazi kampuni ya SGS kabla ya kuundwa EWURA .
Makampuni mengi yalishindwa kujiendesha kwani mianya iliyokuwepo kabla SGS na sasa EWURA kampuni nyingi ziliweza kutumia nafasi hiyo kuiibia serikali na kulipa kodi "DANGANYI".../
Kampuni (Gapco) ambayo Pascal Mayala haijui historia yake, iloyokuwa ikimilikiwa na raia wa asili ya Asia bwana KOTAK...Ilipoteza uwezo wa kujiendesha na kubaki na matawi katika mikoa miwili tu, Dar na Arusha.
Kwa kifupi kampuni hii baada ya kuyumba kibiashara ndipo alipojitokeza mnunuzi...Reliance kampuni inayomilikiwa (na alikuwa kipindi hicho) ni tajiri namba nne duniani na namba moja Asia.....Murkesh Ambani.....
Ni ajabu kwani baada ya kununuliwa, mmiliki wa Gapco alibakiwa na hisa hazikuzidi thelathini, na makubaliano BRAND NAME haikubadirika....
Naomba nimwambie Mayala pamoja na ujio wa tajiri huyo, Tanzania haikubadirika na kuwa India....
Naomba nimwambie pia TOTAL imeuziwa kampuni ya Gapco na RELIANCE....
Lazima ajue kuwa ulichopanda ndicho utakacho vuna...
Wakati Reliance inainunua Gapco ni vyema muwekezaji angebanwa aweze kufufua matawi yaliyokufa, hii ingeweza kwa namna moja kufufua ajira kwa wazawa na kuwa neema...
Matokeo muwekezaji amehujumu miundombinu iliyokuwepo kwa kuuza mitambo na samani zilizokuwepo kama vitu chakavu (scrapes)
Lazima tujue kuwa TOTAL ndio kampuni iliyopewa tenda ya kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda mpaka Tanga...
Ujio wa Total nchini si neema anayosema bwana Mayala bali ni muendelezo uleule wa kuja kuchuma nchini faida kukimbizwa nje ya nchi....
Tusitarajie kuona vituo vya Gapco pengine kurekebishwa na kuwa vya kisasa (tembele Total Afrika kusini)
Katazame vituo na wale watoa huduma walivyo smart.....sidhani kama watalifanya hilo nchini....
Ni muda utaongea na kuhukumu kwa haya machache niliyoeleza...
Kubwa bwana Pascal tuache ushabiki.....labda kama umepewa SODA...
NAWASILISHA: JAMII FORUM