Total E&P is ready for EA pipeline

Mkwanja tatakao vuta hapa..tuna eza tandaza SGR nchi nzima ndani ya miaka isiyo zidi 10! ila hili deal wangepata Kenya, Uhuru angekua the richest man in the world.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah aise hili dili tumeula kinyama

Hata kama mafuta yakiisha Uganda na South Sudan, hii pipeline itatumika kupump mafuta kutoka bandarini kupeleka Uganda, Congo, Burundi, Rwanda, South Sudan, Kenya etc kama lile bomba la tazama na hayo mafuta huko Uganda na South Sudan hayaishi leo wala kesho kwa hiyo hapa ni kukamua tu midolari ya bure

Kuna study inaonesha Tanzania inafaidika almost the same na Uganda, tukiongeza South Sudan, Tanzania itanufaika kuliko wote.
 
Kweli mkuu.. Manyang'au baada ya ku sign MoU wakaona wame win, ila Magu alicho wafanya hawatasahau milele. Ali tumia mpaka history ya Tz kumwaga damu for Ug. Mpaka leo Wakenya hawana hamu nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom