Toshiba keyboard.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
1,430
1,773
Habari zenu. natafuta keyboard ya toshiba satellite L505. kwa anayejua duka zinapopatikana na bei yake anisaidie. laptop ilianguka nataka nibadili keyboard.
 
Kuna jamaa wapo Mwenge opp msikitini wanauza laptop accessories na spare parts
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom