Tosha na airtel umeshinda milion 50 000 000 na pikipiki ya yamaha cc175

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Tosha na airtel umeshinda milion 50 000 000 pamoja na pikipiki aina ya yamaha cc175 wasiliana nasi kwa hii namba +255686113730 Ahram.

===
wadau nimetumiwa sms kutoka kwenye hiyo namba.

Nilipiga # hiyo nikaambiwa nimeshinda hizo zawadi;

nikaulizwa ninaishi wapi?
nikajibu: Dar.

...nikaambiwa leo kutakuwepo sherehe pale Diamond Hall, kwa ajili ya kukabidhi zawadi kwa washindi na mimi nikiwa mmoja wa washindi wa Airtel leo..., natakiwa kutuma majina yangu yote na # za kitambulisho, eneo ninalo kaa.
ili wafanye mpango wakunikabidhi hizo zawadi!

===
Nimewapigia Airtel huduma kwa wateja! hawapokei...
===
.!!!YATOSHA!!!
 
Back
Top Bottom