Torati ilikataza pia Ngamia asiliwe kama ambavyo ilikataza kwa Nguruwe. Mwarabu anaruhusiwa kula Nguruwe akiwa na njaa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,476
23,609
Camel meat is not Halal in the Torah. It is 'unclean' in the same catagory with pork (Leviticus 11:4-7). Ukisoma utaona kuwa ngamia ameweka kundi moja na nguruwe katika kitabu cha Torati. Lakini kwa waarabu sababu ya utamaduni wao toka mwanzo kabla ya Uislam haujaletwa na muhamad walikuwa wakila Ngamia basi na muhamad naye akaendelea humo humo.

Muslims eat Camel meat: Christians eat pork.

Hivyo Waislamu wanakula Ngamia kama ambavyo Wakristo wanakula Nguruwe.

The Quran states in Surah Al-Hajj, Ayah 36:

"And (as for) the camels, We have made them of the signs of the religion of Allah for you; for you therein is much good; therefore mention the name of Allah on them as they stand in a row, then when they fall down eat of them and feed the poor man who is contented and the beggar; thus have We made them subservient to you, that you may be grateful."

The Quran 2:173 "He has only forbidden to you dead animals, blood, the flesh of swine, and that which has been dedicated to other than Allah . But whoever is forced [by necessity], neither desiring [it] nor transgressing [its limit], there is no sin upon him. Indeed, Allah is Forgiving and Merciful."

Ingawa pia nguruwe ameruhusiwa katika uislamu ikiwa muislamu ana njaa au kazidiwa na njaa... Nami nina ndugu zangu ambao tumekuwa tukila kitimoto pale inapotokea wana njaa na hamna nyama nyingine. Wanasema si kama inavyoaminishwa na watu wasiofahamu maandiko.

Ushahidi nimeweka hapo juu. Sitaki kukashifu dini yangu nliyokulia nayo mpaka nlipopata akili na kuifahamu vizuri.
 
Nadhani imani nyingi zinaigiza mno katika lifestyles na kufuata yale Mungu ameamrisha nadhani tunamtania Mungu.
Ukisoma mambo ya walawi naona kabisa katazo la vitu vingi sana .
Lakini wale wanaofuata wanakuwa na maisha marefu sana yasiyo na magonjwa au misongo.
Mungu hakuwa mwendawazimu kuzuia jambo alafu sisi tuone alikosea tukaanza kula.
Ndio maana leo magonjwa ya ajabu ajabu ni mengi sana kwasababu ya lifestyle zetu.
Hatuli vifaavyo kuliwa
Hatunywi vifaavyo kunywewa
Hatulali muda unaostahili kulala
Hatufanyi kazi kwa masaa stahiki
Hatufanyi mazoezi kwa muda sahihi
 
Hebu Angalia life span ya wala NYAMA YA NGURUWE! Wachina wanaongoza Mkuu!; na nguruwe hawatupi kitu! Kitu ambacho Mungu amepiga ban usile, huna uwezo wa kukila! Ref; mawe, chuma...huwezi kula Mkuu! Kula tu kitu Roho inapenda!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakula kitimoto ,baba yangu amekula na kufuga and his father before him...
Na wote wameishi vizuri ..
Acha kupotosha umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hawajakuelewa kabisa...ha ha ha....

Hebu Angalia life span ya wala NYAMA YA NGURUWE! Wachina wanaongoza Mkuu!; na nguruwe hawatupi kitu! Kitu ambacho Mungu amepiga ban usile, huna uwezo wa kukila! Ref; mawe, chuma...huwezi kula Mkuu! Kula tu kitu Roho inapenda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Torati imekataza kula wanyama kutokana na sifa zao kama vile
Wanyama
Wasiocheua, ie Nguruwe
Wasio na kwato, ie Mbwa
Watambaao, ie Nyoka
Wala nyama, ie Simba
Wenye kwato isiyogawanyika mara mbili, ie Ngamia
Nk
Waislamu wanasema wameamrishwa kutokula aina tatu tu.
1.Kibudu
2.Nguruwe
3.Na kilichochinjwa na asiye mwislamu.
Sasa mimi nauliza hapo inamaana wanyama wengine wote wanaruhusiwa kula ?
Yaani kama
Nyoka
Mwewe
Paka
Mbwa
Chui
Mamba nk ?
Naomba Jibu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mkitaka kila mtu ale hio kitu bei yake si itakua hatari maana demand itakua kubwa kuliko supply?
Wasiokula mi naomba wala hata wasifikirie kuionja kwa kweli.

Maendeleo hayana chama
 
Sasa na tuliokuwa tukiishi nje ya ulimwengu WA torati na quran I mean nje ya mashariki ya kati sisi Mungu alitukataza kula nini? Mambo mengine Waafrika tujitafakari sana Mzungu aliyakataa mapokeo ya kiyahudi akamodify ukiristo uendane na tamaduni zake so Kitimoto kama kawaida,pombe kunywa kidogo usilewe,magovi kama kawaida ulaya.
Mwarabu kupitia Mohammed baada ya kutembelea sehemu za uyahudi katika biashara zake akajifunza na kuona maisha na tamaduni za kiyahudi akaiga kila kitu ila kilichomwangusha ni kutokujua kusoma kwani alipotosha mafundisho kwa kuyaweka kinyume na ilivyo katika biblia na Torah pia naye hakukubali kubadili mila na utamaduni wake kwenye dini yake kwa kuruhusu ngamia na vingine vilivyokatazwa kwenye Torah
Ila Waafrika sasa
1.Tunakataa kula Nyama iiyochinjwa na weusi wenzetu kisa eti na makafiri jamani huyu ni uzwazwa
2.Tunakataa kuozeshana mabinti na vijana wetu eti nimakafiri au waisilamu
3.Tunakataa kuvaa nguo za mababu zetu ila tunajisikia vizuri kuvaa nguo za wazungu na waarabu ikitokea mmasai kaingia na rubega msikitini au kanisani anafukuzwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana leo magonjwa ya ajabu ajabu ni mengi sana kwasababu ya lifestyle zetu.
Hatuli vifaavyo kuliwa
Hatunywi vifaavyo kunywewa
Hatulali muda unaostahili kulala
Hatufanyi kazi kwa masaa stahiki

Wanaofuata maagizo na makatazo ya Kitabu cha Mambo ya Walawi ni Wasabato. Je,unaweza kutupatia hapa takwimu kuonyesha kwamba Wasabato wanaishi muda mrefu kuliko wasiofuata hayo mambo ya Walawi?
 
wale wanaoita wakiristo makafiri hawawezi kuchangia huu uzi maana umerusha mshale kwenye moyo kabisa wanagugumia maumivu sasa hivi
 
Wengine hawali nguruwe but wanakula utamu wa wala nguruwe, ajabu sana.

Ndio uone maajabu na ukubwa Wa ujinga Wa watu ambao walikimbia shule. Mantiki ya Unajisi kutokana na Vyakula ni nafsi ya mtu kuchafuliwa. Sasa wote tunaona Wasabato na waislamu wanaolewa na au wanatoka kimapenzi na wanaokula Nguruwe. Sasa hapo.hao wakimbia Nyama ya Nguruwe wanakwepaje kunajisika?
 
Back
Top Bottom