Topic za mahusiano na mapenzi zapamba moto hapa JF

Hivi mbona hili jukwaa linatupiwa mawe sana? sio siku hzi tu tangu najiunga mm naona kila siku malalamiko tuuu watu wan discuss mapenzi mapenzi....Teamo, Aspirin, Fidel, Rev Masa Mwanajamii etc wote watakuwa mashahidi kwenye hili......:embarrassed:

Na Nguli nadhani hizi lawama zimezidi sana baada ya uchaguzi...watu wameshuka toka juu sasa wanataka kila mtu aishi stressed life ya siasa....tutageuza majukwaa yote kuwa ya stress na keyboard assult, which will be an easy way for some of us to go
 
Hivi mbona hili jukwaa linatupiwa mawe sana? sio siku hzi tu tangu najiunga mm naona kila siku malalamiko tuuu watu wan discuss mapenzi mapenzi....Teamo, Aspirin, Fidel, Rev Masa Mwanajamii etc wote watakuwa mashahidi kwenye hili......:embarrassed:

wala usitafute shahidi dia, hao wanaoli2pia madongo wanakuja kufanya nn humu jamani? 2achieni wenyewe 2foramike na raha za hapa MMU kinachoshangaza wanaolalamika kutwa kuchungulia humu kwi kwi kwi mwafata ni kama hamvutiwi na habar za humu hapa pana ulimbo bana. Nasema hv kila anaechungulia humu na kupost chochote anapapenda so usilalamike mpendwa jiviringishe sarakasi za raha jiachie jipe maraha maisha mafupi mwe
 
mmmhhh Maty na kueshimu mwaya...
kila kilochatakiwa kiwe hapa kwenye hii poster umekisema..
kazi kwenu sasa mnaolalamika...
mmesha pewa mambo....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom