Topic za mahusiano na mapenzi zapamba moto hapa JF

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT THINKERS?wamelishwa nini ?mbona mawazo yote ''downstairs''
Nawasilisha.............[this is just the hypothesis]
 
kizazi cha uzinzi
 
Kaka the common bond in all of humanity, the one essential necessity for living a contented life, is love. Love gives one's life meaning. Similarly, giving love makes the life of another meaningful. The highest function ya mapenzi na mahusiano ni kuwa it makes the loved one a unique and irreplaceable being. Ultimately, love creates a meaning, a purpose for the existence of a person
 
yaani utasikia kinanii changu kidogo,mara changu cheusi sana! na mengi mengineyo,duh yaani ni raha na karaha.
 
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT THINKERS?wamelishwa nini ?mbona mawazo yote ''downstairs''
Nawasilisha.............[this is just the hypothesis]

Ukitulia downstairs ujue upstairs utakuwa makini.ninavyohisi
 
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT THINKERS?wamelishwa nini ?mbona mawazo yote ''downstairs''
Nawasilisha.............[this is just the hypothesis]

Ni kwamba Siki hizi hata hata kwenye siasa Uchumi, na kwingineko habari nyingi hazina mshiko.

Bora ku concentrate na mambo ya "uzalishaji" na kuijaza dunia. mambo ya jokes na mambo ya kikubwa

No one is born hating another person because of the color of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.-Long Walk to Freedom by Nelson Mandela

Teh Teh teh
 
tuliongea sana siasa wakati wa uchaguzi.......wacha turelax kidogo bana......ahhh
 
Siasa hazina mvuto kabisa siku hizi.Labda tuanze kujadili mambo ya maendeleo, na mapenzi ni nguzo muhimu ya maendeleo.
 
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT THINKERS?wamelishwa nini ?mbona mawazo yote ''downstairs''
Nawasilisha.............[this is just the hypothesis]

Watu wako tayari kutoa roho za watu wengine ili kuimpress wenzao kimapenzi.
Ufisadi wote unafanywa ili kuimpress wenza na kukata nao mtaa(kula uroda) Fedha sabuni ya roho.
Ustawi wa jamii maana yake nini? Familia- Hakuna Familia isiyoanzia kitandani.
Tukiongelea watu tunaongelea mwanzo wao,maisha yao na mwisho wao. Mwanzo ni kitandani Yakhe!

So far,Ndiyo namna pekee tuijuayo ya kutengeza watu.
Ingekuwa kusalimiana kwa kushikana mikono kunaweza tengeneza mtu! Sijui ingekuwa aibu kushikana mikono na wake zetu barbara?

Ni bora turudi kule kule kwenye asili unachukua ubavu wa mtu mmoja unatengeneza mtu mwingine. Sounds like croning?
 
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT THINKERS?wamelishwa nini ?mbona mawazo yote ''downstairs''
Nawasilisha.............[this is just the hypothesis]

kwa sababu ni sehemu kubwa ya maisha yetu ..
na wengi wanaogopa kuongea na mtu anaye mfahamu..
kwa hiyo wanaleta hapa ile tushirikiane mawazo...
we unadhani kuna mtu mzima mwenye akili timamu ataenda kwa mama yake aulize (example "nini madhara ya tigo"???)
 
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT THINKERS?wamelishwa nini ?mbona mawazo yote ''downstairs''
Nawasilisha.............[this is just the hypothesis]

Wewe hujasoma title ya jukwaa lenyewe sasa si ni la mapenzi na urafiki na kadhalika, sasa unataka watu waongelee nini acha udwanzi unaingia ktk pilau wewe unaleta kalimati utakimbizwa, ila ki ukweli jukwaa hili haliboi kama mengine, hoko ktk siasa kumejaa ushabiki tu ukichangia tofauti unatukanwa hata kama ni ukweli, lakini huku tunajimwaya, unatoa stress zako za usiku mpaka unafurahi , hakuna aliebinafsisha forum kwanini tusijimwage bwana hongereni mods kwa jukwaa hili, yaani nikiwa officn pembeni computer yangu ,ninaforamika na kazi zinasonga mbele unakaa officn hadi saa 11 jioni raha ,mana si raha tu bali raha kwelikweli
 
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT THINKERS?wamelishwa nini ?mbona mawazo yote ''downstairs''
Nawasilisha.............[this is just the hypothesis]

Sometimes common sense ain't common sioni cha kujadili hapa
 
wana JF,
nimejaribu kupitia kwa juu juu nikaona kuwa topic zinazohusu ma 'love dove' ndio zenye chart na huchangiwa sana hapa jf kwa sasa (mods nisaidieni takwimu).najiuliza kunani GREAT THINKERS?wamelishwa nini ?mbona mawazo yote ''downstairs''
Nawasilisha.............[this is just the hypothesis]

You have now entered Jukwaa la Mapenzi, Mahusiano na Urafiki....hili jukwaa lipo ndani ya Jamii Forum (a home of great thinkers)
Karibu sana upunguze stress za maisha na uyaone maisha katika mwanga bora zaidi. Na ukihisi stress zimepungua, panda juu kwenye siasa halafu zikizidi njoo tena....sisi tupo tu

Humu tunajadili mapenzi, mahusianio na urafiki....so share your great thinking on mapenzi, mahusiano na urafiki...Na juzi tumepata waziri wa mahusiano na urafiki...a.k.a Tyson
 
Back
Top Bottom