Topic ya Hussein Bashe kumbonda mfanyikazi wa New Habari imetolewa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Topic ya Hussein Bashe kumbonda mfanyikazi wa New Habari imetolewa.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mphamvu, May 18, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Sawa, inaweza ikawa ni tetesi, lakini kwanini isishughulikiwe kitetesi-tetesi?
  Nimeikuta Fesibuku hii habari, nikaona sio mbaya nichungulie huku, through Google nimeiona, ila kwa ndani wameitoa.
  Ingekuwa poa ikabaki, labda Hussein Bashe, ambaye ni member humu angekuja na majibu kuntu, kuliko admin wetu kujaribu kukalia kinyesi ili kuficha aibu, matokeo yake unajichafua zaidi.
  Au ni part ya maintainance?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  jamani tunatafutiana madonda koo tu hapa chit chat.

  Huyu bashe naye ni nani?
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Bashe ni kada wa CCM, na mkurugenzi wa media house fulani pale Sinza.
   
Loading...