Topic;Kwanini BANK nyingi hazina Vyoo vya Wateja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Topic;Kwanini BANK nyingi hazina Vyoo vya Wateja.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakamukubwa, Oct 4, 2012.

 1. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimefatilia Muda mrefu sana na kubaini kuwa ni karibu Bank zote hazina vyø vya wateja.
  Kwanini?
   
 2. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  kwasababu sio mahala pakuweka vitu tumboni, e.g bar, hotel
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Ndo mazoea ya watanzania. kama shule zinakosa vyoo iwe benki? hakuna miongozo mizuri ya kusimamia utoaji huduma wa kifarifi kwa mteja.
   
 4. Monyiaichi

  Monyiaichi JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 1,799
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  huduma zinatolewa fasta, hakuna anayekaa zaidi ya saa nzima, zamani watu wakizimia kwenye folen baada ya kusimama masaa kadhaa hawakuweka- wataweka sasa!
   
 5. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,361
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Ni kwaajili ya security!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,862
  Likes Received: 6,355
  Trophy Points: 280
  hili swali nimetumiwa kwenye sms kwa jina la "jahazi"...
  eniwei, ushawahi kuulizau umefuatilia kimykimya????
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Vyoo vipo unadhani wafanyakazi wanapata huduma zao wapi?Ukibanwa na kuuliza unapata huduma si lazima waandike vyoo vya wateja
   
 8. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,265
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  vipo ukitaka jisaidia uliza mhudumu
   
 9. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hvyo ni vyoo staff,wateja je
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Watatumia vya staff maana hakuna tofauti kati ya staff na mteja wote wanaenda choon kupata mahitaji
   
 11. s

  sirgeorge Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini sisi wateja tunaziamini sana bank zote na kuweka hela (pengine hata mamilioni ya hela) zetu kwao ila wao hawatuamini hata chembe kiasi kwamba hata kalamu(pen) wanazifunga kamba. Hii imekaaje?
  Tukazitoe hela zetu wao hawatuamini hata kidogo!
   
 12. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,860
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  He he he heeeee! Watu mna vituko humu JF!
   
 13. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,083
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  ila kunapaswa kuwepo vyoo kwa ajili ya wateja kwani bank zingine unakaa sana kupata huduma,hivyo ni busara kuwa na vyoo vya wateja, hiyo sababu ya ulinzi mimi bado sijaiona kuwa imekaa vizuri kwani wanapoingia hapo ndani ya bank kufanya huduma hawawezi kuhatarisha huo usalama?
   
 14. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,092
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Tiririka Mkuu, funguka tujuze, sababu za kiusalama kivipi?!!!, si lazima vyoo viwe ndani ya bank, nadhan hata vikiwa nje, let say jirani na sehemu wanyokaa walinzi wa nje! Pia nimuhimu kuandika huduma ya choo ili watu wajue inapatikana upande upi, nijuavyo mimi hii ni huduma muhimu saana!! Halafu si kweli kuwa wateja hawakai muda mrefu, nakumbuka nilispend 4 hrs NMB Temeke sudan just kudraw hela, nilikuwa nahitaji kiwango zaidi ya kile cha kutoa kwa ATM! Binafsi naona haja ya kuwa na sheria ya kulazimisha bank ziwe na vyoo kwa ajili ya wateja!!
   
 15. M

  Masuke JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,603
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Benk nyingi zimepanga kwenye majengo ambayo sio yao, na kwa jinsi majengo hayo yalivyojengwa kuna vyoo tayari vipo kwa ajili ya watumiaji wote wa jengo au ghorofa husika, kwa hiyo ukiulizia watakuonyesha tu. Sio rahisi kuwepo ndani ya bank maana chumba chenyewe cha bank hudesigniwa baada ya jengo kuwa lishakamilika.
   
 16. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  ha ha haaaa dah...ni hivi kwa habari ya kalamu, inafungiwa kamba kwasababu wateja wengi mara kadhaa hutembea bila kalamu, basi ile kalamu isipofungiwa kamba wengine tunaweza kujisahau na kuibeba akija mteja mwingine, atatumia nini? ile ni "public" pen mdau...
   
 17. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  kwa mfano NMB...
   
 18. epson

  epson JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 498
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  je hili ni tatizo kwa bank za tz pekee? what about our neighbouring contr and abroad?
   
Loading...