Top Universities in Tanzania in 2020

eriqelikplim

New Member
Sep 12, 2019
2
1
What are the most popular Universities in Tanzania? uniRank tries to answer this question by publishing the 2020 Tanzanian University Ranking of 32 Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria:

  • being chartered, licensed or accredited by the appropriate Tanzanian higher education-related organization
  • offering at least four-year undergraduate degrees (bachelor degrees) or postgraduate degrees (master or doctoral degrees)
  • delivering courses predominantly in a traditional, face-to-face, non-distance education format.
Here are the top best universities in Tanzania in 2020. If you want the best universities in Africa, you can find it on africavarsities.com

 

Attachments

  • Best Universities in Africa for Getting a Job.jpg
    Best Universities in Africa for Getting a Job.jpg
    32.3 KB · Views: 15
Hizi orodha za ubora wa vyuo huwa zinaandikwa na nani na kwa vigezo vipi!?

Vigezo vya kisiasa au vigezo halali?

Mchango wa chuo kimoja kwa taifa dhidi ya chuo kingine unapimwa kwa namna gani?

Kwa blah blah tu za kisiasa?

Most importantly, nani huwa anaandika hizi orodha?
 
Noma Sana. Mount meru University na SAUT(malimbe) zipo harafu open University of Tanzania haipo. Hii Ni zaidi ya hatari.
Mbona SAUT Malimbe iko poa tu. Halafu mkuu inaonekana umeangalia orodha bila kusoma vigezo vilivyo tumiwa, ungalisoma kwa umakini ungeelewa kwa nini OUT haipo.
 
Hizo udom na mzumbe zimefikaje hapo juu na kumzidi muhas

Udism (anabebwa)
Sua
Muhas


Vingine mbwembwe tu
 
Hicho Chuo ambacho umekipa namba moja, ungefika na kuchunguza yaliyopo ungekiweka namba 16.
Hakukipa yeye namba moja bali ndivyo ilivyo. UDSM ndio chuo kinachoshika namba moja kila mwaka kwenye orodha ya vyuo bora hapa nchini.
 
Back
Top Bottom