Top three wanaoteseka na kuumia zaidi

I dont understand,shafii ni mchambuzi wa soka,kwa kundi lile kweli pale mwanzo nani angesema simba anatoboa
Ndo maana kna tweet flan nliona anasema.kundi limekua so complicated mpaka wa mwisho anaweza akawa wa kwanza anytime na akapita, means aliongelea simba posibility ya kupita,washabiki without using head,wanahisi jamaa anabif na simba,..
Soccer africa kipind nguli cha kuchambua soka by wisemen kundi lilipokua mwanzo waliona simba hatoboi,ila last episode Thursday nao baada ya kuona kundi lilivyo km shafii wakasema ana nafasi ya kupita,simba fans sijui why hawamuelewi shafii

Sent using Jamii Forums mobile app
Shafii hakumaanisha hivyo, toa tafsiri ya underdog!! Dauda aliizadharau na kuikebei Simba!
 
Tangu lini mtu mwenye akili timamu akaenda kujenga bondeni matopen kabisa tena kwenye njia ya maj..yan bwawan kabisa 😂😂😂
Tatizo la kuja mjini ukubwani..miaka ya nyuma kulikuwa hakuna mafuriko Jangwani..mpaka watu walivyoanza kujenga kiholela..uliza ujuzwe
 
Yeah simba alkua ni underdog kwenye lile kundi,whata wrong na kuitwa underdog?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira Wa kiafrica hamna underdog maana Hawa Al Ahly mabingwa wa kihistoria lakini ugenini wanafungwa...Kama wewe mpenzi wa mpira siku Barcelona kapangiwa na macabbi tel Aviv ya Israel uone kama Barcelona atajilinda ugenini afungwe chache halafu ategemee kushinda nyingi nyumbani!..

NB
Africa neno underdog sio sahihi kwani soka letu la mbinu mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom