Unbounced
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 345
- 430
“Masihara yakizidi sana madhara makubwa huweza kumpata mtu hii huweza kuwa kijamii,kiuchumi na kiimani,utakuta umejishushia heshima yako,hutoaminiwa na wengi na kuna baadhi ya taasisi watakupuuza.
Hakuna mzazi awezae kumpa mtoto wake jina “mzigo wa pumbu!.watu kama hawa hawajielewi kwa kujitakia matatizo pale unapohitajika uambatanishe vyeti vyako vyote na majuto hutokea hapo tena ya kujitakia mwenyewe!.
Mana anajikuta kila cheti kina jina tofauti na ni cheti au kitambulisho muhimu kwa mazingira ya shughuli na maisha yetu ya kila siku.