Top ten wonderful names from Tanzania

“Masihara yakizidi sana madhara makubwa huweza kumpata mtu hii huweza kuwa kijamii,kiuchumi na kiimani,utakuta umejishushia heshima yako,hutoaminiwa na wengi na kuna baadhi ya taasisi watakupuuza.

Hakuna mzazi awezae kumpa mtoto wake jina “mzigo wa pumbu!.watu kama hawa hawajielewi kwa kujitakia matatizo pale unapohitajika uambatanishe vyeti vyako vyote na majuto hutokea hapo tena ya kujitakia mwenyewe!.
Mana anajikuta kila cheti kina jina tofauti na ni cheti au kitambulisho muhimu kwa mazingira ya shughuli na maisha yetu ya kila siku.
 
Palinswela ndipalala,nchuli nchinungu, chilogo chikapwelela, ngungulu nkuwinikila, chilambo mpwachaka,chilambo chinilombwa, mkaza mwana, cecilia ambangile,
 
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
===========================
===========================
UPDATES: Mwenye jina no. 8, John Pombe Magufuli, sasa ndiye Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 - 2020
ASHANTO MBAGA
 
HII DHIHAKA NI YA KISHAMBA, SIJAONA JINA LA AJABU HATA MOJA .

Hakika Tumemong,onywa kifikra na lengo la dhana njama ya Bw. MacAulay inaonesha kufanikiwa kwa asilimia 99.1% kwa jinsi wabantu na jamii zingine za kiafrika zinapojidharau hhata kwa utambbulisho wa majina yao

BINA FSI SIJAONA JINA LA AJABU HATA MOJA KATI YA HAYO NINACHOONA YANAWAKILISHA VYEMA DESTURI ZA JAMII FULANI KAMA ILIVYO KWA MAJINA YA CHENG, DOS SANTOS, CHOUDHURY HATA AKINA CAMPBELL
 
[/QUOTEMashaka Mchele
 
Eh..! mkuu hata "Mzigo wa pumbu" ?..

so kwa ubantu huo,...
 
Back
Top Bottom