kyagwamaka isegelekesye Tabora school student 1977 - 1979Mizengo Kayanza Peter Pinda,PM. Advocate fungamtama wakili wa RA na Ngeleja. MaraNya_member wa Jf!
kyagwamaka isegelekesye Tabora school student 1977 - 1979Mizengo Kayanza Peter Pinda,PM. Advocate fungamtama wakili wa RA na Ngeleja. MaraNya_member wa Jf!
Mnofu Manyama - Umbwe Sec School, Kidato cha sita - 2010
Dr. Anyeliswyekwita wa tukuyu1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
===========================
===========================
UPDATES: Mwenye jina no. 8, John Pombe Magufuli, sasa ndiye Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 - 2020