Top ten wonderful names from Tanzania

1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
===========================
===========================
UPDATES: Mwenye jina no. 8, John Pombe Magufuli, sasa ndiye Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 - 2020
 
Kama ulibahatika kushika mashine ya kuandaa vitambulisho vya mpiga kura basi haya majina uliyakuta,Nilijaribu kusearch kila kiungo cha mwili nikakuta ni majina ya watu,tunayoyaita matusi ni majina ya watu pia,viungo vya uzazi navyo watu wanatumia kama majina
 
SIAJALI MBWATI KAGUNULA dah mwamba alikua fundi dodoma cable television

mwingine aliitwa NG'OMBENZELU WAMI
 
Back
Top Bottom