Top ten wonderful names from Tanzania

1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
===========================
===========================
UPDATES: Mwenye jina no. 8, John Pombe Magufuli, sasa ndiye Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015 - 2020
aiseee huyo ndungu yangu PUMBU 😬
 
Ngongo mungo_kigonsera sec 2017_2019
Lubango lusalango_kigonsera sec 2017_2019
Kiteleja kiteleja_kigonsera sec 2018_2020
 
90 Reactions
Reply
Back
Top Bottom