Top Ten: Mawaziri/Wabunge Wazembe na Wachapakazi Tanzania kwa Awamu ya Nne!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Top Ten: Mawaziri/Wabunge Wazembe na Wachapakazi Tanzania kwa Awamu ya Nne!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Mar 6, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Tafadahali toa maoni yako kuhusu swali hili, je katika awamu hii ya nne, unadhani ni Waziri/Mbunge gani mchapkazi/Mzembe kuliko wote?Mawaziri/Wabunge Wachapakazi, ukisaidia kutengeneza criteria/sababu itakua jambo la mbolea sana

  Mawaziri/Wabunge Wachapakazi


  1. Dr Hamis Kigwangala (nachokoza tu!!!)
  2. ......................................
  3. ............................................
  4. ................................................  Mawaziri/Wabunge Wazembe


  1. Dr Haji Mponda (uchokozi zaidi)
   
 2. L

  Luthar JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mchapakazi mb john myika g bless lema pumbafu kuliko wote makinda na job ndugai
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu lakini mara nyingi ikitokea ajali watu husema nafaaaa hawasemi twafaaaa....natumai ume-accuse message na si messenger
   
 4. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wewe acha kukurupuka umedhihirisha ulivo mvivu kufikiri.
   
 5. Soraya

  Soraya JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mchapakazi ni John Mnyika

  Mzembe ni Makongoro Mahanga.
   
 6. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Malizieni tu kwa kusema Mzembe CCM mchapakazi CDM. Mnaneng'eneka na nini maneno meeengi!
   
Loading...