Top Ten footballers Tanzania ever produced

khalyboy

Member
Jun 3, 2007
12
4
1.Athumani Mambosasa-If in doubt ask any Egypt's Mehalla el- Kubra 1970's fan.

2. Sunday Manara-First ever Tanzanian footballer to play professional in Europe.

3.Abdallah Kibadeni-Simply King.

4. Gibson Sembuli-Hot shoot Hamish.

5. Maulidi Dilunga-African 11 Captain.

6. Omary Mahadhi-Tanzania One(Original)

7. Zamoyoni Mogella-Golden Boy

8. Gobos-Pioneer

9. Omary Gumbo-Zilipendwa

10. Omary Hussaini-Keegan
 
That Was The First Generation......! Then Comes.......! Mwameja......mwakalebela........k Mkapa......aswile(scania)/njohole......masatu/kasanga.......masha/i.athuman/lenny/m.mogella.......kihange.....gaga/....... Chumila/j.makelele/malota/kizota/tino/....kipese/gebo/e.gabriel........kipese/lunyamila....!
List Goes On.......!
what About Best Coaches.....!
 
1.Athumani Mambosasa-If in doubt ask any Egypt's Mehalla el- Kubra 1970's fan.

2. Sunday Manara-First ever Tanzanian footballer to play professional in Europe.

3.Abdallah Kibadeni-Simply King.

4. Gibson Sembuli-Hot shoot Hamish.

5. Maulidi Dilunga-African 11 Captain.

6. Omary Mahadhi-Tanzania One(Original)

7. Zamoyoni Mogella-Golden Boy

8. Gobos-Pioneer

9. Omary Gumbo-Zilipendwa

10. Omary Hussaini-Keegan

Wacha kabisa. Yaani orodha yako haina jina la Nicodemus Njohole - are you serious

11. Peter Tino

12. Ramadhani Mtemi

13. Kocha Mchezaji - Hassani Hafif

14. Ardolph Rishard

15. Leodgar Tenga

16. Jela Mtagwa

17. Mohammedi Kajole

18. Ahmed Amasha
 
2. Sunday Manara-First ever Tanzanian footballer to play professional in Europe.

HAPO UMESAHAU KITU MKUU,
LEKEBISHA USEMI WAKO HAPO..........
KUNA MTU ANAITWA ATHUMAN ABDALLAH CHINA (Ile namba 8 ya Yanga ) alisumbua mno na yeye alienda kucheza professional Uingeleza UK. 1992 mpaka wazungu wakamfananisha na ile namba 8 yao KIPENZI CHAO MIchael Gassikoin GAZA.

ukitaka zaidi juu ya huyu jamaa na hii tri yake na kushindwa kwake just PM me na nitakutumia story nzima.

ILA LET IT BE NOTED

Vipaji tulikua navvo
 
2. Sunday Manara-First ever Tanzanian footballer to play professional in Europe.

HAPO UMESAHAU KITU MKUU,
LEKEBISHA USEMI WAKO HAPO..........
KUNA MTU ANAITWA ATHUMAN ABDALLAH CHINA (Ile namba 8 ya Yanga ) alisumbua mno na yeye alienda kucheza professional Uingeleza UK. 1992 mpaka wazungu wakamfananisha na ile namba 8 yao KIPENZI CHAO MIchael Gassikoin GAZA.

ukitaka zaidi juu ya huyu jamaa na hii tri yake na kushindwa kwake just PM me na nitakutumia story nzima.

ILA LET IT BE NOTED

Vipaji tulikua navvo

Wananchi,

Tunapozungumzia vipaji vya kukumbukwa vya wacheza mpira wa miguu, ingefaa sana tukumbuke kwanza tulikotokea katika mchezo huu.

Wakati East African Challenge Cup ilipoanza, wakati huo ikiitwa Mashindano ya Gossage Cup, ubingwa ulikuwa ni wa Uganda zaidi na wenzao Kenya. Tanganyika na Zanzibar zilikuwa wasindikizaji tu.

Lakini, ilipofikia 1949 wasindikizaji Tanganyika, waligeuza kibao wakawa washindi wa Gossage Cup, watu wakafikiri labda ile ilikuwa nyota ya jaa. Hawa wazee, siku hizo vijana, wakahakikisha umahiri wao kabumbu, kwa kukichukua kikombe hicho cha mashindano ya Afrika Mashariki 1950 na 1951.
Mara tatu mfululizo. Rekodi yao hiyo haijafikiwa au kupitwa na timu nyingine yoyote ya Tanganyika wala Tanzania.

Napenda kuwapa wao heshima hiyo ya wachezaji bora wa wachezaji wetu bora:

1. Abdulhamid Ramadhani "Ibraq" - Dar Young Africans - Goalkeeper.
2. Juma Mrisho - Tabora - Fullback Right
3. Mganga Yaga - Kondoa, Dodoma - Fullback Left
4. Mambo Mzinga "Tractor" - Dar Young Africans - Halfback Right
5. Yunge Mwanansali - Tabora - Centre Half
6. Kheri Kilanga - Dar Sunderland (Simba) - Halfback Left
7. Hamisi Mtoto - Dar Young Africans - Right wing
8. Fidelis....?.... - Bukoba - Inside Right
9. Juma Abdallah Nyongole - Iringa - Centre Forward
10. William Nasson - Dar Sunderland (Simba) - Inside Left
11. Pius....?..... - Bukoba - Left wing
Reserves:
12. Mohammed Kembo - Tanga
13. Harold Mgone - Dar Sunderland (Simba)
14. Hamisi "Fourteen" - Dar Sunderland (Simba)
15. Situmai Mzee "Ng'anda" - Dar Young Africans.

Hatutawatendea haki watu hawa kama tutawasahau. Wao ndio waliotuonjesha ushindi wa mchezo huu kwa mara ya kwanza kabisa, katika mashindano ya Kimataifa.

Mwenyezi Mungu awarehemu huko waliko.
 
Top Eleven wangu hawa hapa;


1. Juma Pondamali Mensah

2. Leodgar Tenga

3. Mohammed Kajole Machella

4. George Magere Masatu

5. Mohamed Bakari Tall

6. Mohamed Rishard Adolph

7. Nico Demus Njohole

8. Ramadhan Lenny

9. Peter Tino

10.Zamoyoni Mogella -Golden Boy

11.Edibily Jonas Lunyamila


hao wote hapo juu hawakushindwa ku deliver kila walipokuwa uwanjani, kuanzia vituko vya pondamali golini, mipira ya kona 'banana chops' alokuwa anachonga Kajole (kushinda Beckham!), George masatu jinsi alivyokuwa anaokoa mipira ambayo kila mtu alishaamini Goli!, midfield ya uhakika ya Nico na enzi za Lenny, magoli ya uhakika toka kwa Tino na Mogella, mbio na chenga za maudhi za Lunyamila, we acha tu,... Mwenyezi Mungu awarehemu walotangulia!

mpira enzi hizo bwana! hakuna cha TVT wala TBC, ni RTD kwenda mbele, Charles Hillary, Dominic Chilambo, Mikidadi Mahmoud, Ahmed Kipozi nao walikuwa burudisho tosha kwenye radio zetu!!!
 
Why top 10 and not top 100?

Omari Chogo Chemba

Boi Wickens

Mohamed Kajole

William Chitete

Thuweni Ally

Makumbi Juma

Peter Tino

Willy Mwaijibe

Gilbert Mahinya

Mohamed Salim

Hamisi Gagarino Tx 1

Lilla Shomari Tx 2

Jellah 'Mlevi' Mtagwa

Idd Boi 'Wickens'

Khalid Abeid

Haidari Abeid

Hassan Gobbos

Abbas Dilunga

Maulid Dilunga

Sunday 'computer' Manara

Kassim Manara

Kitwana Manara

Adolph Rishard

Mohamed Mkweche

Mohamed Tostao

Yungi Mwanansali

Mpaka kesho namini miaka ya 60, 70, 80 Tanzania kulikuwa na wachezaji wazuri sana kuliko sasa bahati mbaya tu miaka hiyo hawakupata bahati ya kuonyesha vipaji vyao majuu, lakini wengi wangestahili kabisa kuchezea timu kubwa za dunia za wakati huo. Walikuwa na mapenzi ya kweli na timu zao na pia walikuwa wanajituma sana wanapokuwa uwanjani tofauti na hawa wa sasa. Kwa Taarifa tu pink slip ya 'Minimo" imeshaandikwa kesjo tukipigwa mbao basi kibarua kinaota majani yeye na timu yake nzima ili warudi kwao wakaendeleze gwaride maana inaelekea mpira hawaujui.
 
MIMI,nimeshindwa kuelewa,hii footballers hall of fame,mnaitafutaje,cause i have been made to understand that one kitwana manara played for the national team first as a goalie and later on as a striker,surely,surely he deserves a mention
 
Nilimsahau rafiki yangu Ezekiel Greyson "Jujuman" mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi. Hii list ya top 10 footballers inabidi iongezwe angalau ifikie 100, vinginevyo haitawatendea haki wachezaji wengi ambao walikuwa na viwango vya hali juu katika kusakata kandanda.
 
Any mention of the best 10 players without Lunyamilla and Hamis Thobhias Gaga is false!
 
Top 10 yangu
1.Idd Pazi " Father "
2.Raphael Paul " RP "
3.Samli Ayub " Beki Mstaarabu "
4.Fikiri Magoso
5.Frank Kasanga " Bwalya "
6.Hamza Maneno
7.Method Mogella " Fundi "
8.Octavian Mrope
9.Juma Mgunda
10.Said Mwamba " Kizota "
11.Razaki Yusuf " Careca "

Nini kimetokea? wako wapi kama hao? au ni UBINAFISHAJI kmb:
1.RELI ya Morogoro ya akina Duncan Butinini,David Mihambo n.k
2.RTC Kigoma ya akina Hamza Maneno,Mavumbi Omar,Idd Cheche n.k
3.Pilsner ya Arusha " NDOVU " ya akina Muhidin Cheupe " Nylon"
4.Ushirika Moshi ya akina David Rodgers, Often Martin n.k.Ile ilikuwa Brazil chini ya Oscar Dan Koroso.
5.CDA ya Dodoma ya Kina Justin Simfukwe.
6.RTC ya kagera ya akina Cheche Kagile
7.Timu ya bodi ya PAMBA Mwanza ya akina Fumo,Kitwana Selemani,Beyatus Simba n.k
8.Mwadui ya akina Dan Muhoja,ile middle ya kiarabu
9.Sigara ya akina Shabani Anania,Selemani Mkati,Mwakatika,Hamisi Kondo n.k
10.Pilsner ya Dar ya akina James Washokera
Kwa kutaja wachache.
Timu hizi zilikuwa za mashirika , zilikuwa na viwanja , mahitaji muhimu ya lishe na malazi wakati wa kambi.Huwezi kuwa na timu isiyokuwa na kiwanja,hayo mazoezi ya kupiga mashuti utafanya wapi.
Maeneo ya wazi yaliyokuwa yanatumiwa na vijana wa mchangani kufanya mazoezi yameuzwa kwa wafanya biashara kwa kigezo cha uwekezaji....!!!!!
Katika mazingira haya huwezi kuzalisha products kama hizo nilizotaja hapo juu.WATU WANAMISULI WAMEJENGEKA KIMICHEZO.WANA ARI N.K
Tuanze kwa kujenga viwanja na kuzuia vilivyopo kuuzwa mfano NYAMAGANA.
MATAJIRI WAWEKEZE KWENYE SOKA KWA KUANZISHA AU KUNUNUA EXISTING CLUBS.SIO KUZING'ANG'A NIA YANGA NA SIMBA.
PALE KUPATA OWNERSHIP NI VIGUMU.
TUPATE KUREJEA KWENYE RTC's,PILSNERS LIKE.
Nawasilisha
 
mimi top ten yangu!
1.Steven Nemesi
2.Keneth Mkapa
3.Willy mtendawema
4.Godwin aswile
5.Salumu kabunda "Ninja"
6. Issa Athumani
7.Sanifu lazaro "Tingisha"
8.Husein Masha
9.Edward chumila
10.Zamoyoni Mogela
11.Damiani kimti.
Wengine:Dua saidi,Twaha hamidu,Abubakari salumu "Sure boy"
 
Thanx kwa wote embu tumwagieni data apa, unajua sisi wengine watoto wa juzi juzi tu, ukiniuliza mimi nitakutajia kuanzia Generation za kina Ken Mkapa Mwameja na Lunyamila, na wao kwa kuwasikia kupitia RTD!!

Viva ma-legend, sio hawa wa ''siku hizi'', urembo mwingiiii na kelele soka hakuna!!
 
Kwa sisi watoto wa juzi
1.Mohamed Mwameja
2.Alphonce Modest
3.Keneth Mkapa
4.Salum Kabunda
5.George Masatu
6.Method Mogela
7.Salvatory Edward
8.Husein Masha
9.Zamoyoni Mogela
10.Said Mwamba
11.Edibily Lunyamila
 
kweli tupu Bubu,

Pamoja na hao wote waliorodheshwa ahapo kuna vijana waliokuwa wakisukuma gozi...People like

1. Paul Rwechungura (
2. Mussa Kiwelo
3. Justine Mtekere
4. Hussein Masha
5. Beya Simba
6. Hamza Mponda
7. John Makerere (Zig zag)
8. Malota Soma (Ball Jaggler)
9. Abubakar Salum (Sure Boy)
10. Saidi Mrisho (Zico wa Kilosa)
11. Issa Athuman
12. Nico Bambaga
13. Nteze John Lungu
14. Danny Muhoja
15. Godian Mapango
16. Ahmed Amasha
17. Samli Ayoub (Beki Mstaarabu)
18. Octavian Mrope ***
19. Dr. Madundo Mtambo
20. Ally Maumba
21. Athuman Juma Chama
22. Charles Boniface Mkwasa (Master)
23. Michael Paul (Nylon)
24. Athuman Maulid

(Big Man)- Wakenya walimkubali na Kumwita Big Man
Ni wengi mno lakini ukwelim unabaki kuwa soka ilikuwepo wakati huo. Na kwa msisitizo *** OCTOVIAN MROPE wale wanaokumbuka enzi za maji maji ikitamba na Taifa Star miaka ya mwisho ya 80 hadi mwanzo wa 90 mimi binafsi ni nilimkubali katika nafasi ya kiungo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom