Radics
Senior Member
- Mar 12, 2017
- 104
- 79
Mkuu hapa umena kabisa..huu utanzania na ukenya wakati mwingine tuweke pembeni kabisa na kusema ukweli, yawezekana waliotafiti hata Kenya hawakufika...India na China kwenye ishu zingine wapo juu mno..I am Kenyan but habari hii nikama kujifunga goli (own goal)...pia sisi tuna shida nyingi sana kwa sector hii ya sanitation Kibera sio jambo la kujivunia..ukweli usemwe tu...tutakapomaliza shida hizi ndipo tunafaa kuja kujivunia...kwa sasa nikama tu mbilikimo wawili wanapimana urefu na kuchekana..No pun intended..just being real