Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

Mmh, unaongelea position gani?

Kama ni entrance position kwa graduates, kisasa wanaita bank officer, au branch operation officer nazani CRDB anaongoza kwa kuanza na Net ya lak 6 kwa staff wake plus medical benefit.

Sina uhakika wadau maana sipo kwenye hiyo industry but maduu na washkaj wa bank ndio wengi wanasema hivyo
 
nmb wako juu ya nbc kidogo kwa graduate entrance,stanchart ni kweli wako juu akifuatiwa na stanbic
 
Mmh, unaongelea position gani?

Kama ni entrance position kwa graduates, kisasa wanaita bank officer, au branch operation officer nazani CRDB anaongoza kwa kuanza na Net ya lak 6 kwa staff wake plus medical benefit.

Sina uhakika wadau maana sipo kwenye hiyo industry but maduu na washkaj wa bank ndio wengi wanasema hivyo

yap crdb wapo juu..bt ni kweli bank officer ni entrace position kwa graduates? co customer care na uteller..naomba nifahamisheni nahitaji kujua kuhusu hili?
 
Mkuu kama CRDB entry point n laki 6 net ni ya kawaida sana.....benki kama mbili ninazozijuwa kwa bahati mbaya hazikuorodheshwa na mtoa mada temporary staff laki sita hadi milioni
 
Ubavu wangu wa pili ni yupo kwenye teller NMB but wanaitwa bank officer, na siku nyingine anakuwa customer service officer, siku nyingine back officer, siku nyingine kwenye mikopo yaani hana sehem maalum, kitambulisho chake kinamtambulisha kama branch operational officer ( bank officer)

Bank nyingi siku hizi zimeua bank teller, CSO etc na kuajiri wote as Bank officers na branch manager ndio anaamua akuweke wapi leo
 
Mkuu kama CRDB entry point n laki 6 net ni ya kawaida sana.....benki kama mbili ninazozijuwa kwa bahati mbaya hazikuorodheshwa na mtoa mada temporary staff laki sita hadi milioni

Tunaomba uzitaje hizo bank ambazo bank officer anaeanza kazi anapata 1m net, unajua 1m net ni sawa na gross ya bei gani ?

Bank hii industry ya Africa hainaga mishahara mikubwa kabisa.. Bank zote zinafanana fanana

Wanaofaidi bank ni watu wa Tressury maana ndio roho ya bank,, na hata Directors, CEO, etc kwenda juu hao ndio wanalipwa pesa za kufa mtu..

But staff wa branch level ni hela za kula tu na kusaidia kununua mboga za familia
 
Mkuu kama CRDB entry point n laki 6 net ni ya kawaida sana.....benki kama mbili ninazozijuwa kwa bahati mbaya hazikuorodheshwa na mtoa mada temporary staff laki sita hadi milioni

azania bank,tpb bank,twiga bancorp
 
Yaani, NMB ni wa mwisho???
Ina maana kazi wanazozifanya haziendani na malipo????? Wateja wote wale
halafu wanalipwa kiduchu......

Kweli Bank zinaua vipaji kwa vijana.
 
Zote assumption tupu wekeni scale ili tuone ukweli zaidi ya hapo atakuja mtu hapa aseme mmesahau benk ya vikoba inalipa vizuri zaidi ya zote ,2M starting salary
azania bank,tpb bank,twiga bancorp
 
Kwa mfanyakazi yup?I.e bank teller, customer care, branch manager?e.t.c na Ungeweka na hvyo viwango vya mshahara.

mkuu,nazungumzia kwa graduates wanaokua wanaanza job ambao hujulikana kwa jina la bank officers..
 
Mmh, unaongelea position gani?

Kama ni entrance position kwa graduates, kisasa wanaita bank officer, au branch operation officer nazani CRDB anaongoza kwa kuanza na Net ya lak 6 kwa staff wake plus medical benefit.

Sina uhakika wadau maana sipo kwenye hiyo industry but maduu na washkaj wa bank ndio wengi wanasema hivyo

acheni stanchart wawe juu jmn,kuna sm entry positions ukitoka chuo tu TAKE HOME NI 1.3 MILLION PER MONTH..recruitment procedure yao ndef bt surely worth it,pale ht field tu unalipwa laki mbili au zaidi,..upo hapo...ma'manager ndo usisemeee...
 
Back
Top Bottom