Mmh, unaongelea position gani?
Kama ni entrance position kwa graduates, kisasa wanaita bank officer, au branch operation officer nazani CRDB anaongoza kwa kuanza na Net ya lak 6 kwa staff wake plus medical benefit.
Sina uhakika wadau maana sipo kwenye hiyo industry but maduu na washkaj wa bank ndio wengi wanasema hivyo
Mkuu kama CRDB entry point n laki 6 net ni ya kawaida sana.....benki kama mbili ninazozijuwa kwa bahati mbaya hazikuorodheshwa na mtoa mada temporary staff laki sita hadi milioniMmh, unaongelea position gani?
Kama ni entrance position kwa graduates, kisasa wanaita bank officer, au branch operation officer nazani CRDB anaongoza kwa kuanza na Net ya lak 6 kwa staff wake plus medical benefit.
Sina uhakika wadau maana sipo kwenye hiyo industry but maduu na washkaj wa bank ndio wengi wanasema hivyo
yap crdb wapo juu..bt ni kweli bank officer ni entrace position kwa graduates? co customer care na uteller..naomba nifahamisheni nahitaji kujua kuhusu hili?
Mkuu kama CRDB entry point n laki 6 net ni ya kawaida sana.....benki kama mbili ninazozijuwa kwa bahati mbaya hazikuorodheshwa na mtoa mada temporary staff laki sita hadi milioni

azania bank,tpb bank,twiga bancorp
Sio Tanzania tu, Africa nzima bank industry huwa hailipi vizuri.. angalia graduates wa nchi za west africa wanavyolalamika humu Are People Now Afraid Of Bank Jobs? - Jobs/Vacancies (1) - NairalandYaani, NMB ni wa mwisho??? Ina maana kazi wanazozifanya haziendani na malipo????? Wateja wote wale halafu wanalipwa kiduchu...... Kweli Bank zinaua vipaji kwa vijana.
Mmh, unaongelea position gani?
Kama ni entrance position kwa graduates, kisasa wanaita bank officer, au branch operation officer nazani CRDB anaongoza kwa kuanza na Net ya lak 6 kwa staff wake plus medical benefit.
Sina uhakika wadau maana sipo kwenye hiyo industry but maduu na washkaj wa bank ndio wengi wanasema hivyo
na vip kuhusu tanzania investment bank wakoje