Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

acheni stanchart wawe juu jmn,kuna sm entry positions ukitoka chuo tu TAKE HOME NI 1.3 MILLION PER MONTH..recruitment procedure yao ndef bt surely worth it,pale ht field tu unalipwa laki mbili au zaidi,..upo hapo...ma'manager ndo usisemeee...

Standard charted Bank officer anaanza na 1.3m net? Hivi unajua net ya 1.3 ni sawa na gross ya almost 1.8m...

Hakuna Bank inayofanya hivyo labda BOT.. Acheni story za vijiweni..

Bank industry haina huo uwezo wa kulipa bank officer net hiyo,, hiyo ni mishahara ya Oil and Gas ya kuanzia as PUMA, KOBIL. TOTAL may be na Mining undustry etc but bank hakunaga

Hata TRA hakuna officer anaeanza na net ya 1.3m

Hata auditing firm zinazochukua the best hazianzi na hiyo net ya 1.3m..
 
Hakuna Bank inayofanya hivyo labda BOT.. Acheni story za vijiweni

kaka stanbic relationship officer CIB wanakula 2.9 gross kwa mwezi
 
Standard charted Bank officer anaanza na 1.3m net? Hivi unajua net ya 1.3 ni sawa na gross ya almost 1.8m...

Hakuna Bank inayofanya hivyo labda BOT.. Acheni story za vijiweni..

Bank industry haina huo uwezo wa kulipa bank officer net hiyo,, hiyo ni mishahara ya Oil and Gas ya kuanzia as PUMA, KOBIL. TOTAL may be na Mining undustry etc but bank hakunaga

Hata TRA hakuna officer anaeanza na net ya 1.3m

Hata auditing firm zinazochukua the best hazianzi na hiyo net ya 1.3m..

kaka stanbic customer consultant officer anakula net ya 1.2 na hapo bado overtime na tip za wateja
 
Naona haujaelewa, hapa hatuongelei officer yeyote tunaongelea entrance pay,, yaani salary ya kuanzia graduate anaetoka chuoni as Bank officer

Unaijua CV ya huyo relationship officer
 
Tatizo lenu nyinyi vijana mnaotoka vyuoni wagumu kuelewa.. Mkisikia mtu ni officer tu mnajua ndio ametoka chuoni.. Hamjui hata CEO ni officer, mnajua kama Badra masoud yule msemaji wa Tanesco ni communication officer.. Sasa unajua CV yake ikoje na mnajua analipwa zaidi million 5..

Sio kila officer Bank yupo katika level za bank officer, hapa tunaongelea fresh graduate kaajiriwa as bank officer wale mnaowaona branch wanawahudumia crdb, nmb, stanbic etc... Ndio tunaowaongelea achana na officer ana CV za kufa mtu experience kibao yule hayupo entrance level kama graduate wanaotoka vyuoni
 
Naona haujaelewa, hapa hatuongelei officer yeyote tunaongelea entrance pay,, yaani salary ya kuanzia graduate anaetoka chuoni as Bank officer

Unaijua CV ya huyo relationship officer

Ukiongelea cv nadhani una refer to job description. Au?
Kakavua Kama sio dadavua please
 
Mkuu kama CRDB entry point n laki 6 net ni ya kawaida sana.....benki kama mbili ninazozijuwa kwa bahati mbaya hazikuorodheshwa na mtoa mada temporary staff laki sita hadi milioni

zitaje hzo bank mkuu.
 
1}standard charterd bank.
2}stanbic bank
3}barclays bank.
4}cit bank.
5}i&M
6}Exim bank
7}diamond trust
8}Crdb bank
9}nbc
10}nmb

Ukiwa Kama chanzo cha mkanganyiko mkubwa ulioufanya hapa tulitegemea ungeweka na vigezo vilivyotumika Katika kufikia rank hizi. Ukiweza kurudi na data tutakushukuru sana. Tunajua umekurupuka ila sasa unaweza ukarudi tena kimya Kimya na mawe ya kutosha.
Please.

Hata kwenye hesabu pia huwa wanakokotoa. Onyesha vigezo na variables mzee.
 
Ukiongelea cv nadhani una refer to job description. Au?
Kakavua Kama sio dadavua please

Ninaposema CV I mean she/he is capable to handle more responsibilities than a fresh graduate..

Kazi anazofanya huyo relationship officer a fresh graduate hawezi kuzi mudu kwa urahisi..

Nafasi kama ya bank officer unamchukua fresh graduate unampeleka training ya siku 5 tu then anapelekwa branch na kuanza kazi zote bila shida yeyote na anazimudu na hata kama anaacha kazi ni rahisi kumtafuta mwingine then anamudu..

But kuna position ambazo mtu hawezi kujifunza kwa wiki moja tu akamudu kama hizo wanazolipwa mishahara mikubwa..

Mishahara inapangwa kutokana na responsibilities ulizo nazo kwa mwajiri, higher responsibilities goes parallel with higher payments and benefits..

So ni upumbavu kumfananisha bank officer na relationship officer wa bank, hawa ni watu wawili wapo level tofauti ndio maana mmoja kituo chake ni kwenye bank branch mwingine kituo chake ni head office ya bank
 
kaka relationship officers na ma'rm ambao wako responsible kuhandle private banking customers na business banking custom customers wako kibao kwenye up'country branches usitudangaye kwamba wapo head office tu
 
Standard charted Bank officer anaanza na 1.3m net? Hivi unajua net ya 1.3 ni sawa na gross ya almost 1.8m...

Hakuna Bank inayofanya hivyo labda BOT.. Acheni story za vijiweni..

Bank industry haina huo uwezo wa kulipa bank officer net hiyo,, hiyo ni mishahara ya Oil and Gas ya kuanzia as PUMA, KOBIL. TOTAL may be na Mining undustry etc but bank hakunaga

Hata TRA hakuna officer anaeanza na net ya 1.3m

Hata auditing firm zinazochukua the best hazianzi na hiyo net ya 1.3m..

sio story za vijiweni,I HAVE BEEN THERE...kaulizie wanaopata CBFT-CONSUMER BANKING FAST TRACK hapo stanchart wanalipwa sh.ngapi?..cha mcng jtahd uingie pale..unashangaa stanchart,VODA mbona wanalipa mtu katoka chuo accountant gross ya 1.6m(BT HII NIMESIKIA SINA UHAKIKA).......MJINI HAPA....!!..
 
Back
Top Bottom