TOP STORIES DC Bukoba aagiza “Kamanda vuruga Kijiji kizima, huu ni unyama unachinja Binadamu”

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,504
Kufuatia mauaji ya kinyama dhidi ya watoto wadogo yaliyotokea Kata Kyamlaile kijiji Mashule Mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo ameagiza Kamanda wa Polisi wa Wilaya kuwasaka waliohusika na tukio hilo la mauaji.

DC Deodatus Kinawilo amemuagiza Mkuu wa Polisi wilaya Bukoba kuhakikisha polisi wanakaa katika kijiji hicho na avuruge Kijiji hicho hata Kijiji jirani ili kuhakikisha wahalifu wanapatikana na ikibidi watakaohisiwa wawekwe ndani.
 
Back
Top Bottom