Tetesi: Top secret: Sio Ikulu,Sio Tis wala kikosi maalumu kiliruhusu Risasi zitumike kwa waandamanaji je who authorize..

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Igweeeeeeeeeee taarifa zakunyapia nyapia zimeniangukia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji. Sio kweli yani big No.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri. Ikumbukwe askari hawatumii risasi za moto pasipo kibali ama kuwepo hali yakuleta hatari kwa askari husika. Kila kikosi chakutuliza ghasia kuna mkuu wakile kikosi au wakundi fulani.

Habari zisizo rasmi nikuwa ile risasi ilipigwa na mmoja wa hao walinzi wa amani japo hakuna ushaidi why mpaka sasa alitumia silaha za moto. Maswali wana usalama na viongoz wajuu wanajiuliza ni:-

Je, askari alie piga risasi alipatwa na mfadhaiko au msongo wakimawazo baada yakuona kundi linamjia?

Au alikuwa na ajenda ambayo mimi nawewe hatujaijuwa mpaka sasa?

Je, kuna mtu nyuma yapazia alikuwa akicontrol kundi fulani la maaskari

Je, ni watu wasiojulikana katika nia yao ovu bado kumchafuwa Magufuli na serikali ambalo ndio ilikuwa dhima ya yale maandamano?

Je, kunakamchezo kanachezwa kuiteteresha serikali ya Magu?

Je, hii ni conspiracy?

Kazi kwenu
 
Igweeeeeeeeeee taarifa akunyapia nyapia zimenigikia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri
Mpumbavu kweli wewe unaandika kichangu ktk mada serious kama hizi?

Machozi ya hawa watu mtayalipia tu
fcb5fb8b8307769e20db6215c160cc46.jpg
 
Igweeeeeeeeeee taarifa akunyapia nyapia zimenigikia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri
Yale yale ya Nape Nnauye mnaanza kuwakataa vijana wenu.
 
Igweeeeeeeeeee taarifa akunyapia nyapia zimenigikia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri
mkuu ile zawad yetu ya krisimasi vipi
 
Igweeeeeeeeeee taarifa akunyapia nyapia zimenigikia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri
Mh. Jakaya 2015 aliagiza kwa fedha nyingi magari ya maji washa, ni makubwa ya kisasa na yenye uwezo wa juu wa kuzima maandamano, kwanini hayakutumika kuwatawanya waandamaji!? Na wa siku ile yalikuwepo, wakayaweka pembeni wao wakaamua watumie za moto, kwa kweli ni lazma wawajibishwe wote. Halipaswi kuachwa kabisa....
 
Ukitisha tisha watu sana na bunduki ipo siku utafyatua na kuua. Aliyeruhusu risasi zitumike kutawanya maandamano anahusika na kifo cha mpendwa Akwilina.
Mkuu haya mauwaji yana wigo mpana.
Anzia kwa mkurugenzi aliyeleta figisu za kibaguzi kugawa hayo makaratasi.
Polisi, si tu kufyatua risasi, huyo mfyatuaji alishajulikana na yumo ndani, bali kwanini zitumike risasi sa moto kutulizia 'maandamano ya amani', nani alitoa amri hiyo?
Kwanini mbowe aanzishe maandamano muda nje ya 'saa za kazi' bila kibali? Nk nk.
Kwa hiyo, msafara wa mamba utakumba na kenge pia.
Watu wamezidi sana hila na unafiki nchi hii.
 
Igweeeeeeeeeee taarifa akunyapia nyapia zimenigikia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri
Sitashangaa mtakaposema ni mbowe..
Maana kuna watu akili zao zimegota kufikiri
 
Igweeeeeeeeeee taarifa akunyapia nyapia zimenigikia mzee wakunyapia nyapia hii ni zaid yakiza kinene kwa wale mnamtumia msg yakulaani mkuu wa taifa eti aliruhusu risasi kwa waadamnaji.

Taarifa ambazo nakosa kuzithibitisha nikwamba kweli risasi zilipigwa na mpigaji nikweli alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi. Ila giza ni zito nani alitoa amri
Bashite how about that?!
 
Back
Top Bottom