Top Quotes Of 2007

mstahiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2007
Messages
310
Points
0

mstahiki

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2007
310 0
Tunaomba utupe zako pia
------------------------------------------------------------------

Top Quotes Of 2007

Here's the list of 2007 Memorable Quotes -- according to Fred R. Shapiro, the editor of the Yale Book of Quotations.

1. "Don't Tase me, bro." -- Andrew Meyer
2. "I personally believe that U.S. Americans are unable to do so because some people out there in our nation don't have maps and I believe that our education like such as in South Africa and Iraq and everywhere like such as and I believe that they should our education over here in the U.S. should help the U.S. or should help South Africa and should help Iraq and the Asian countries so we will be able to build up our future for us." -- Lauren Upton
3. "In Iran we don't have homosexuals like in your country." -- Mahmoud Ahmadinejad
4. "That's some nappy-headed hos there." -- Don Imus
5. I don't recall." -- Alberto Gonzales
6. "There's only three things he (Rudy Giuliani) mentions in a sentence: a noun and a verb and 9/11." -- Joseph Biden
7. "I'm not going to get into a name-calling match with somebody (Dick Cheney) who has a 9 percent approval rating." -- Harry Reid
8. "(I have) a wide stance when going to the bathroom." -- Larry Craig
9. "I mean, you got the first mainstream African-American who is articulate and bright and clean and a nice-looking guy. I mean, that's a storybook, man." -- Joe Biden
10. "I think as far as the adverse impact on the nation around the world, this administration has been the worst in history." -- Jimmy Carter
 

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,372
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,372 2,000
11."Ikiwa tutaruhusu wasichana waliojifungua kurudi mashuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa darasani" --- J.M.Kikwete
 

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,372
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,372 2,000
Nzokanhyilu,
Yes, I'm 4 real...here is another one for you.

12."Kina mama pia endeleeni kuzaa wasichana wazuri kwani katika miaka hii miwili hata kwenye mashindano ya urembo duniani tumetamba." -- Jakaya Kikwete, July 27,2007
 

Kalamu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2006
Messages
874
Points
0

Kalamu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2006
874 0
Why is Tanzania a poor country" Honestly, I don't know! (you know who).
Jibu la namna hii linakatisha tamaa; haliamshi hisia za mori katika raia.
 

Kisura

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2007
Messages
364
Points
195

Kisura

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2007
364 195
Hii kali aliitoa George W.

"I heard somebody say, 'Where's (Nelson) Mandela?' Well, Mandela's dead. Because Saddam killed all the Mandelas." --George W. Bush, Washington, D.C., Sept 20, 2007.

You decide...
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,846
Points
2,000

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,846 2,000
"Tanzania imepaa" - Lowassa akizungumza Bungeni

"Tumegawana kasungura" - Lowassa akizungumza na watu wa Mwanza

"Ninakula" - Lowassa alipoulizwa kuhusu vijana waliokwama Ukraine
 

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Messages
986
Points
1,225

Quemu

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2007
986 1,225
"Kiongozi atakayefanikiwa kuleta maendeleo Tanzania ni yule atakayezifufua sera za Mwl. J.K. Nyerere na kuangalia wapi palikosewa." - Mchambuzi

"Sidhani kama umesoma page kwa page, kwani post ya kwanza tu inasema "mpaka mwezi november" au labda wewe ni dizaini ya kiwavi. Maana viwavi huwa wanakula huku wanakunya, translation ni kuwa unasoma huku unasahau teh teh teh mwendo mdundo." - YNIM
 

Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Messages
561
Points
195

Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2007
561 195
Nao wanahudhuria wa JF...

“Naenda kujiunga nao nione” Mwanakijiji na JF kushindana na serikali

Niko huko tayari. nitwapa madongo yao na ole wao waondoe maana watakuwa wameshindwa kazi. unless waendelee kumuenzi Vasco da Gama. Na Maarifa kuhusu JF kushindana na serikali.

“Pumba juu ya pumba” Famously quoted quote by Dua

"Hivi kumbe wewe huwa unafikiriaga hivi pia.Ila unadhani wewe kuwepo hapa JF kunarudisha maendeleo nyunma au mbele.Maanake labda umati unisaidie hapo,sioni fikra zako endelevu hapa.Now i know why we are underdeveloped” ...na mwanahudhuria Ben kuhusu wana JF waliojitoa na kutokuwa na imani na serikali ya JK
 

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
8,607
Points
2,000

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
8,607 2,000
(1) "Kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi" J. K. I. Kwete akimtetea mbunge Chitalilo aliyegundulika kuwa kughushi vyeti vya elimu yake.


(2) "Wapo wanaonionya kwamba wauza mihadarati watanidhuru...lakini mimi nasema, woga wangu hauko kwa hao, nawaogopa zaidi wale wanaonipiga vita ndani ya chama changu...nawajua ni watu wa namna gani...wanaweza kunidhuru...”

...Marehemu Amina Chifupa kuhusu maadui wake ndani ya CCM
 

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2007
Messages
5,194
Points
0

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2007
5,194 0
Dont worry, there will always be noise makers....

Kikwete AKA Vasco Da Gama akimwakikishia Sinclair kuwa hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengua mkataba wa Buzwagi na mingine ya Madini..... December 14th 2007.
 

Mwawado

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Messages
998
Points
195

Mwawado

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2006
998 195
"Nafikiri imefika wakati Tuwaombe Rafiki zetu wa Scandinavia,Watufundishe kuandika na Kusoma Mikataba haswa ya MADINI,kwani sie hatuna wataalamu hao" - JK Kikwete May'2007
 

YournameisMINE

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Messages
2,250
Points
1,225

YournameisMINE

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2007
2,250 1,225
"a lame duck cadillac duvall goes awol when we needed him the most".......mwananchi mwenye hasira, akimkandamiza black governor wa "taxachussets" baada ya kuwa stranded kwenye snow storm in I-128 for about six hours!!!.
 

John Mnyika

Verified Member
Joined
Jun 16, 2006
Messages
715
Points
225

John Mnyika

Verified Member
Joined Jun 16, 2006
715 225
“Karl Peters aliwafunga kamba babu zetu kwa shanga na vitambaa vya kujifunga viunoni, wakati ule wafalme walikuwa wakitembea nusu uchi au wakijifunga ngozi namagome ya miti. Kuvaa kitambaa na mkewe kuulamba shanga lilikuwa jambo la kuukata kwelikweli. Leo hii viongozi wetu wenyewe wanawafuata akina Karl Peters na kutaja bei yetu hata kabla Peters mwenyewe hajawauliza. Wakiambiwa ni majemadari wa vita ya Rushwa na maendeleo ya wananchi kwa mtindo wa kuvishwa kilemba cha makuti wanavimba vichwa na kuwaona hata mama zao kule udongini ni wajinga.
Tutafika kweli?”

Madela wa Madilu-JF
 

Forum statistics

Threads 1,379,997
Members 525,667
Posts 33,763,736
Top