Top button (Kitufe cha kureja juu)

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
870
168
Nawaombeni enyi wamiliki wa JF mtuwekee kitufe cha REJEA JUU kule chini mwisho wa ukurasa ili iwe rahisi kureje juu bila ku-scrol
 
Kipo jameni..
Nyie mnaangaliaje?
Mwisho kabisa chini kwenye msitari wa bluu utakiona, unless kama unatumia pc ya mchina!
 
Back
Top Bottom