Top 6 ya ving'amuzi bora Tanzania vyenye wateja wengi, Unachotumia kipo?

Dstv weka group ingine tofauti kabisa juu ya huo uchafu mwingine, usilinganishe dstv na vitu vya kijinga mweee!!!
 
kutumia hivyo vingamuzi ni sawa na kufungwa minyororo ukiwa gerezani na njaa kali!!! funga dishi lako tafuta FTA na usilipie malipo ya mwezi daima.

NB: Ni wachache sana watashtukia huu mchezo.
Gharama zake zikoje mkuu tujuzane yaan full mpaka kulifunga gharama kama sh ngap hv?
 
'DSTV explora' unajua hii kitu wewe.....Em waulize wenye hii kitu na smart TV wakupe mrejesho.......Edit title yako iwe Top 6 ya ving'amuzi kwa umaarufu sio ubora
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom