Picha za wanaosinzia Bungeni

Mteketa si ni yule mzee tapeli wa copper kapataje ubunge? Kweli hii nchi haina mwenyewe
 
Ivi anayelala na yule ambae bunge linaanza mpaka linaisha hajawai toa mchango ina tofauti gani!
 
Bora ambaye hajawahi kutoa mchango kuliko yule anayeenda kulala bungeni!! Kuna aina nyingi za kuchangia...
 
7.Jason Rweikiza Bukoba vijijini jamaa ata kuongea hajui mwambie kuwaza shule yake ya Amushenye-Kemondo Muleba road.Wananchi wake wanakula mabaki ya samaki a.k.a MAPANKI ata kama kiongozi wa kaya hanakanusha.DUH MAPANKI TUNAKULA MINOFU ULAYA,KWELI TULIDANGANYIKA.

Nilitaka kuweka hiwe kama thread bt we can talk about this humiliation MAPANKI BUKOBA NI KUWAZALAU NA KUWAZALILISHA

WANANCHI.Rweikiza,Tibaijuka,Kagasheki etc hamuyajui haya.source kikijini kwetu ninakoishi Itahwa-Karabagaine BUKOBA VIJIJINI.
 
kuna katabia bungeni wakati bunge lanaendelea Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huwa anapiga soga na baadhi ya wabunge!
Bikiroboto amemlima bit katika kikao cha bajeti kilichopita. Nadhani mtoto wa mkulima na vilaza wenzake wa magamba wanaokwenda kupata desa kwake za jinsi ya kuwadanganya wadanganyika wakati kikao kinaendelea watakoma kabisa.
 
Hivi ni kwa nini huwa wanalala kwenye jengo la sanaa?au huwa wanakesha club alafu asubuhi wanaunga kwenda kwenye jengo la sanaa?
 
Hatimaye mzee wetu Wasira ameibuka tena kutaka kukomboa jimbo la bunda lililo chukuliwa na mwana dada Bulaya.

Wakati akiwa ndani ya bunge mzee wetu Wasira akiwa waziri alitumia muda mwingi akiwa anatafakali mwenendo wa bunge kwa njia ya kuupiga usingizi.

Kama alikuwa hivi miaka zaidi ya 5 iliyopita, itakuwaje kipindi hiki akiingia bungeni? Si ndiyo atakuwa anakoroma kabisa na kuwa na ndoto za wajukuu wake huko Bunda?

Je, watu kama hawa bado tuna haja ya kuwachagua kutuwakilisha bungeni?

Screenshot_20200716-084813.jpeg
 
Hatimaye mzee wetu Wasira ameibuka tena kutaka kukomboa jimbo la bunda lililo chukuliwa na mwana dada Bulaya.

Wakati akiwa ndani ya bunge mzee wetu Wasira akiwa waziri alitumia muda mwingi akiwa anatafakali mwenendo wa bunge kwa njia ya kuupiga usingizi.

Kama alikuwa hivi miaka zaidi ya 5 iliyopita, itakuwaje kipindi hiki akiingia bungeni? Si ndiyo atakuwa anakoroma kabisa na kuwa na ndoto za wajukuu wake huko Bunda?

Je, watu kama hawa bado tuna haja ya kuwachagua kutuwakilisha bungeni?

View attachment 1508181
Homo Eractus
 
tatizo siti wanazokalia wabunge wa tanzania zimekaa kwa kujibweteka mno ,ona wabunge wa Uingereza wanavyokaa ukisinzia mwenzako anakupa konzii👇
1594883810081.png
1594884700785.png
 

Mwanasiasa Mkongwe wa Tanzania Mzee Steven Wasira ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 75 amewajibu Watu wanaoisambaza picha yake anayoonekana kasinzia Bungeni, amesema anaamini kuna baadhi ya Watu wameirudisha picha hiyo ya zamani sasa kutaka kumchafulia.


Mzee Wasira anaamini Watu hao wamefanya hivyo sasa hivi baada ya yeye kutangaza nia ya kutaka kugombea Ubunge Jimbo la Bunda kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu ambapo amesema “ile siku ya hii picha nilikua na mafua”



“Nilikua na mafua nikanywa dawa ya mafua siku moja katika maisha yangu ikapigwa picha siku hiyo, ile picha haiwezi kuakisi maisha yangu, mbona niko Halmashauri kuu ya Taifa hawajapiga nyingine?” – Wasira

“Huo ni ujinga Watu na propaganda zao wanataka kutumia mitandao ya kijamii vibaya” amemalizia kwa kusema hayo Mzee Steven Wassira.
 
Back
Top Bottom