TOP 5 Political Leaders wanaopendwa na Watanzania kwa mwaka 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TOP 5 Political Leaders wanaopendwa na Watanzania kwa mwaka 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jay One, Dec 28, 2010.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Naomba uweke uliowaona ni viongozi wa Kisiasa waliopendwa na Watanzania sana 2010
  kwa utendaji na si wababaishaji, na wawajibikaji kwa wananchi bila unafiki, usanii i mean
  they walk the talk, bila kujali chama, wangu hawa hapa
  1. Dr Wilbroad P. Slaa
  2. Freeman A. Mbowe
  3. Dr. John P. Magufuli
  4. Prof. Anne Tibaijuka
  5. Dr. Harisson Mwakyembe

  Aaahh zimejaa ningekuwa na uwezo John Mnyika angefuatia
  Wish you Happy New Year 2011....!!!!!!!!!!!
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,392
  Likes Received: 81,396
  Trophy Points: 280
  1. Dr Slaa
  2. Dr Slaa
  3. Dr Slaa
  4. Dr Slaa
  5. Dr Slaa

  Ni mapema mno kumtathmini Dr Tibaijuka, kwa maoni yangu, hasa ukitilia maanani kwamba ana miezi miwili tu tangu autwae uwaziri. Dr. Slaa, Tanzania's Newsmaker of 2010.
   
 3. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Nimecheka how you 100% appreciated Dr Slaa, ni Kweli no one to compare with, he is the Greatest Leader in our country, ukweli utabaki hivyo, but mkuu walau wanaofuatia ungewaweka, ili tufunge mwaka na Most admired leader 2010
  Thanks
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bila kuwa na vigezo bayana aliyeleta thread hii anatarajia majibu ya namna gani? Au yuko happy kuona watu waki-express mapenzi yao binafsi then uite credible opinion poll! Ona sasa wenzio wameamua kuweka mtu mmoja kwa nafasi zote 5!
   
 5. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jk umemshau? ndie rais wetu
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  J kikwete
  Salma kikwete
  Ridhiwani kikwete
  Arafa kikwete
  Miraji kikwete

  No coment:smash::smash::help::A S-danger::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1::A S-devil1:
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Bi Roza,
  Arafa ndiye nani? Anaongoza nini?
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  buuuuuuuuum,tupa kule
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hakuna zaidi ya Dr.Slaa
   
 10. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Prof lipumba
  maalim seif
  juma duni
  julius mtatiro
  ismael jusa
   
 11. c

  chamajani JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maria!!!? Sasa hiyo mishale na mikuki si utawaua hao, ni bora ukamuue RA kwanza!
   
 12. c

  chamajani JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona umemsahau hajjat Aisha Kikwete?
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  mbona umemsahau yule wa kuteuliwa..........???
   
 14. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kuna Kupendwa na kuwa maarufu. Sijui kama umeiona Tofauti hapo......Huyu jamaa mwenye Blue ni Maarufu ila Hapendwi mpk kufikia Kuingia kwenye top 5. Alishawahi kugombea Urais na alichoambulia ni Popularity sio kama Rais wangu Dr. Slaa. Huyu YES anapendwa na ni Popular....Koz hata mimi ninapendwa ila sio Popular. So mchomoe M/Kiti wa CHADEMA kwenye Hii List yako.

  Mama Tibaijuka Bado, Anaelekea Kupendwa. Ngoja aguse maviwanja ya wanene wenzie na awabomolee majumba yao as she did pale Palm Beach then utaona atakavyopendwa. The rest Nakubaliana nawe.
   
 15. W

  We can JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  1. Dr. Slaa, 97%
  2. Dr. Magufuli, 1%
  3. Dr. Mwakyembe 1%
  4. Jaji Ramadhani 0.5%
  5. Jaji Warioba, 0.5%
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Dovutwa F. Dovutwa, Crysant Mzindakaya, John Chiligati and Dr. Alzawahiri
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,507
  Likes Received: 1,683
  Trophy Points: 280
  1. Rostam
  2. Edward Lowassa
  3. Andrew Chenge
  4. Mch. Rwakatare
  5. Zitto
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Jamani tuache ushabiki wa kidini hapa tutaje kiukweli watu maarufu.Aliyetaja hapa juu haya majina anaonekana wazi ni mdini
   
 19. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  1.Dr.W.P.Slaa :whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
  2.Dr.Magufuli
  3.Mh.JOHN.J.Mnyika
  4.Mh.Tido Muhando
  5.Dr.mwakyembe
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Julius Mtatiro.... au wewe ndio mdini?
   
Loading...