Top 5: Idadi ya watu wanaoishi Dar, wengi wao wanatoka mikoa hii ukiacha wenyeji

Wachagga punguzeni kujimwambafai. Mnakera !

Mabus asilimia kubwa mikoa yote yamejaa, usafiri ni shida.

Binafsi jana nimeenda kumkatia tiketi mama anatokea Mtwara sikukuu kwenye Musoma, Mabus Yote Yako Booked Siku 5 Mpaka Wiki Ijayo Ndio Anaweza Kupata Tiketi .

Unaposema Makabila Ya Mikoani Yaliyojaa Dar Kwa Haraka Haraka Ni:

- Wachagga ( Kimara, Mbezi ).

- Marans, People from Mara ( UKONGA )

- Wamakonde ( Mbagala )

Na
sasa ulichobisha ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA KIFUPI HUU ALIYEFANYA HUU UTAFITI HAIFAHAMU VIZULI DAR ES SALAAM NI VITONGOJI VYAKE ......

KWA KIFUPI TUU MKOA WA DAR ES SALAAM ........

1.WAZARAMO NDO WENGI ZAIDI WAKIFUATIWA NA WANDEREKO PAMOJA NA WAKWERE

1.WAZARAMO WANAPATIKANA VITONGOJI VYOTE VYA DAR KASORO MASAKI NA OSTERBAY.

2.WANDENGEREKO WANAPATIKANA WILAYA NZIMA YA TEMEKE WAPO KWA WINGI ZAIDI.

3.WAKWERE WANAPATIKANA KARIBIA WILAYA NZIMA YA KINONDONI WAPO KWA WINGI.

4.WANYAMWEZI TOKA TABORA HAWA TANGU KARNE 19 WAPO DAR NA WAMETAPAKAA MAENEO MENGI DAR HADI VIPO VITONGOJI NA MITAA YA KINYAMWEZI

5.WAMANYEMA TOKA KIGOMA HAO WAKO MJINI ENZI NA ENZI BABA

HAO WACHAGA WAPO KIMARA NA SINZA TUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeweka sawa 👍 MSELA WA MANZESE.
 
Back
Top Bottom