Top 3 most marketable Engineering Major/discipline in tanzania? fom six leaves | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Top 3 most marketable Engineering Major/discipline in tanzania? fom six leaves

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwanamabadiliko, Aug 17, 2012.

 1. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  1.MECHANICAL ENGINEERING-
  hii ni moja ya kozi nzuri sana , na ndo ina soko kuu kwa sasa tanzania. kutokana na uvumbuzi wa gesi ambao operation zake zinategemea sana hii major, mechanical inahusu scta ya nishati kwa karibu kabisa na watu wake wanaweza fanya kazi, viwandani, power plant, consulting film, tanesco, ministry of energy, migodini na uhitaji wao kwa sasa ni mkubwa sana.

  2.CIVIL ENGINEERING-
  hii ni moja ya kozi ambazo tunasema huwezi lala njaa, uhitaji wa hawa watu wa civil ni mkubwa sana kwa sasa kutokana na infrastructure growth in tanzania, pia watu hawa wanaweza fanya kazi katika consulting film, viwandani, migodini.


  3.ELECTRICAL ENGINEERING-
  power engineering, watu hawa wanahusika na umeme, uhitaji wa watu hawa unazidi kuongezeka kila siku, makampuni mia kwa mamia yanaingia tanzania katika secta hii, ina uhusiano wa zaidi ya 50% na MECHANICAL ENGINEERING, watu hawa pia wana intergral knowlegne of both COMPUTER ENGINEERING AND ELECTRONICS/TELECOM( the core of electronics/computer/and telecom) .Watu hawa wanaweza fanya kazi, MIGODINI, MAKAMPUNI YA SIMU, VIWANDANI, CONSULTING FILM, CONTRACTORS, WIZARANI, TBS, POWER PLANT NA TANESCO.

  Kozi hizi zinapatikana Chuo kikuu cha uhandisi UDSM- CoET. hizi ndo tatu best zinazofatia zimepitwa mbali sana.make ur selection works
   
 2. e

  elank54 JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aya, tumeshajua uko coet udsm!!!
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Kwani chemical and processing hawana wanalofanya kwenye madini na huo uvumbuzi wa gasi?
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Ila kwa sasa Civil iko juu ya yote....kuna construction ya hali ya juu yenye uhitaji wa watu hao
   
 5. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  yeah uhitaji ni mkubwa kwa sasa i.e uhitaji wa civil engineers from china nd other foreign countries not Tz
   
 6. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  kumbe wewe ndo huko nyuma na dunia engineering zilizoko sokoni ni hizi hapa...1.AGRICULTURE ENGINEERING 2.IRRIGATION AND WATER RESOURCE ENGINEERING 3.BIO-PROCESSING ENGINEERING zote zinapatikana SUA......amka hizo zenu watafanya kazi wachina
   
 7. mayounger

  mayounger Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  uko deep mkaka,vp kama hizo fani ukasomea vyuo kama dit au must?
   
 8. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nyie ndo mmekremisha wazungu wanatoka uk kumbe hata bongo wapo!!! mkuu engineering sio lazima usome coet hata st joseph,mist,dit..hope u understood!!
   
 9. mayounger

  mayounger Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  miamia mkaka..ila nimewasikia baadhi ya wanafunzi wa udsm(coet) wanasema degree za vyuo kama DIT hazitambuliki nje ya nchi au hazina hadhi kama za udsm,kweli?
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Passion iko wapi hapa?

  Si dhani kama 'malipo' pekee ni muhimu kwenye kuangalia cha kusoma chuo kikuu.
   
 11. p

  pusy monster Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  what about chemical engineering......?
   
 12. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Any four year engineering course is marketable in any country!! Just do it in a right way you will agree with me!!
   
Loading...