Top 25 Universities Of The World (2009)

2 to base ten+2 to base ten is always equal to four no matter where you learn.
wasicho angalia wengine the way they embbed historical prestige na hivi vyuo. Na jinsi wanavyo vi-market kwa sababu ndio vinatoa viongozi wao. Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na kesi ya Binti aliyekua na 8 A's in A Level na kunyimwa nafasi Oxford because of her social class background, wakati huo huo Havard had accepted her on full scholarship. Magazeti yali lalama sana mbona kuna students with lower marks from Eton, harrow and Cheltenham girls wamekua accepted with lower grades in comparable. You are right hivi vyuo vingine ni picha ya 'Piccaso' yeyote anaweza imitate. Vyuo vya kuzungumza ni London School of Economics and Empirial College hapo kichwa akipingwi na kuingia uwe nacho kweli.
 
Ninaona kaka ni mshabiki wa LSE. As you aptly put it, LSE "is arguably" the best place to study economics. Ila Economics graduate (Ph.D) programs za MIT, Harvard Univ, Univ of Chicago, Princeton Univ nazo ni balaa tupu.

It is a pity scholars wetu wengi wa TZ hawajaribu ku'apply huko. What we lack is proper preparation katika undergraduate programs zetu. La sivyo sioni kwanini wakenya na waghana wengi wajae huko na waTZ washindwe.


Mkuu tafadhali bwana! (Joke)

Sina ushabiki wowote na LSE sema tuu nimebahatika kusoma baadhi ya kazi za walimu waliosoma pale. They are just incredible. Thats all I know about that school.. Infact nilikuja kuiheshimu ile shule baada ya kusoma vitabu vya Billionaire George Soros (ambaye anasema mafanikio yako kwa kiasi kikubwa yalichangiwa na yeye kusoma LSE). Facts zinajieleza. Mimi infact sina shida na hizi ranking, what I believe ni kwamba ...katika hizi universities zote unazozizungumzia hapa..ukiangalia hakuna uongo. They are simply terrific.

Labda niwaambie apologetic ambao wanaona kwamba akina Harvard, MIT, LSE, Princeton nk wanapendelewa. Hebu angalieni budget zao za research, mchango wa walimu wanaofundisha humo kwenye maendeleo ya nchi husika na duniani kwa ujumla, alums ambao wamesoma humo na mtagundua kwamba hizi rankings zina state the obvious!

By the way hata hao walimu mnaowasema kwamba wako kwenye small universities lakini wamefanya makubwa..hebu kaangalie wamesoma wapi. Utapata jibu.

Ukiongolea Tanzania, please lets be real! How much are weinvesting in education? wanafunzi mpaka leo tunagomea boom..tunakataa kuingia darasani! Ukiangalia kwa umakini bado Western Universities (US na UK) wanadominate kwa sababu ndo wana invest kwenye elimu.

In all, tuichukulie hii kama changamoto! Tuwekeze kwenye ELIMU NA RESEARCH. YOU HAVE TO EARN THAT TOP SPOT YOU DONT JUST GET IT.
 
Maelezo ya juu ulikuja fresh ila hapo nilipobold umeflip flop! How can you say kukaa tu majuu kuna mzidi BA graduate? BA in what...Economics? PSPA? Sociology? Environmental studies? How can a mere stay abroad make you know the Hotellings Equations(Economics)? You failed to convince me in this, can you give me some more explanations please?

what is knowledge?Lets start from there first
 
Kwani hivyo hakuna kudesa? Kama ni hivyo nawashauri magraduate wa UDSM wasijaribu kuomba, maana mi first class mingi ni ya kudesa. Ndio maana hata ma lecturer hatuwezi pata kutoka hivyo vyuo, wengi walidesa, kufanya kweli hawawezi.

Mimi nimefoji cheti cha UDSM na natafutia kazi kwa wahindi...ya nini kujitesa, umbea tu unapata ulaji kwa muhindi.
 
wewe Mbona unaleta Uongo hapa JF.hiyo list si ya kweli hata kidogo!!!!!!!


POSITION

WORLD RANK UNIVERSITY COUNTRY SIZE VISIBILITY RICH FILES SCHOLAR

1 Massachusetts Institute of Technology 2 1 1 7
2 Harvard University ** 7 2 12 1
3 Stanford University 4 4 2 24
4 University of California Berkeley 8 3 5 32
5 Cornell University 1 5 9 37
6 University of Wisconsin Madison 3 10 6 71
7 University of Minnesota 6 15 7 22
8 California Institute of Technology ** 18 6 20 30
9 University of Illinois Urbana Champaign * 17 7 13 51
10 University of Michigan 10 8 18 55
11 University of Texas Austin 12 11 8 44
12 University of Washington 22 9 4 94
13 University of Chicago 42 16 44 2
14 Carnegie Mellon University 5 24 3 93
15 University of Pennsylvania 16 14 33 26
16 Columbia University New York 19 12 21 95
17 Texas A&M University 31 31 11 17
18 University of Maryland * 37 22 17 52
19 University of California Los Angeles 13 17 26 110
20 Purdue University 14 34 14 46
21 Johns Hopkins University ** 59 27 49 3
22 University of Cambridge 26 13 70 86
23 Pennsylvania State University ** 27 29 16 102
24 University of Tokyo 32 26 65 31
25 University of Arizona 20 36 19 134
26 National Taiwan University 34 33 79 18
27 University of Florida 28 40 10 130
28 University of Toronto 51 32 42 40
29 Virginia Polytechnic Institute and State University 11 45 48 38
30 University of North Carolina Chapel Hill 65 23 22 192
31 Michigan State University 52 28 23 147
32 New York University 30 21 40 181
33 North Carolina State University 9 73 35 42
34 Rutgers University 23 42 15 176
35 University of California San Diego 53 30 24 142
36 Yale University 55 18 61 242
37 University of Pittsburgh 98 44 34 33
38 Universidade de São Paulo 76 54 53 20
39 Princeton University 97 25 36 158
40 University of Virginia 73 20 37 299
41 University of British Columbia 118 37 31 83
42 University of Oxford 122 19 51 157
43 Duke University 75 35 29 163
44 Universidad Nacional Autónoma de México ** 61 69 56 21
45 Georgia Institute of Technology 119 79 25 16
46 Swiss Federal Institute of Technology ETH Zurich 84 49 76 43
47 University of Southern California 49 41 62 135
48 University of Colorado Boulder 89 43 27 189
49 Kyoto University 56 52 157 34
50 University of California Davis 47 56 32 204
First | Previous | Next | Last | Universities 1 to 50 of 6000




Support the campaign: copy this banner in your website
 
wasicho angalia wengine the way they embbed historical prestige na hivi vyuo. Na jinsi wanavyo vi-market kwa sababu ndio vinatoa viongozi wao. Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na kesi ya Binti aliyekua na 8 A's in A Level na kunyimwa nafasi Oxford because of her social class background, wakati huo huo Havard had accepted her on full scholarship. Magazeti yali lalama sana mbona kuna students with lower marks from Eton, harrow and Cheltenham girls wamekua accepted with lower grades in comparable. You are right hivi vyuo vingine ni picha ya 'Piccaso' yeyote anaweza imitate. Vyuo vya kuzungumza ni London School of Economics and Empirial College hapo kichwa akipingwi na kuingia uwe nacho kweli.

Hakuna 8 A's in Alevel,Alevel kuna masomo ya msingi matatu tu sasa sijui huyo alipata vp hizo!!!!!!!!!!
 
2 to base ten+2 to base ten is always equal to four no matter where you learn.

2+2=4 sure 100% ila asikwambie mtu kaka,mtu aliyefanya Bsc in IT pale Makerere University hata siku moja hawezi kuwa sawa na wa Bsc IT wa DUke.

au Mchukue mtu wa Bsc in Productions and operation Management wa Mzumbe University afu umuweke na wa Bsc in OPeration Reasearch wa Princeton,hawa watu ni tofauti kabisa Mkuu!!!!
 
Back
Top Bottom