Top 25 Banks in Africa 2021. Kenya is the only country from East Africa

Teargas

JF-Expert Member
Mar 28, 2021
6,170
2,000
The list of top 25 Banks in Africa have just been released and East Africa is only represented by Kenya. Without Kenya, East African region would not appear in most rankings in Africa. The first bank from East Africa to appear was KCB at number 20 with a market cap of $1,317M, the second bank is Equity Bank at number 22 with a capital of $1,096M.
Here is the performance by regions.
1. Northern Africa - 10
2. Sorthern Africa - 7
3. Western Africa - 6
4. Eastern Africa - 2
Central Africa - 0

tapatalk_1625156929275.jpeg
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
23,328
2,000
Afrika Mashariki huwa tunaiwakilisha kwa vitu vinavyohitaji matumizi ya ubongo na pia vinavyohitaji nguvu za kimwili, kunao kila tukishinda medali za riadha wanatusema kwamba ndio tunachoweza tu, haya pia na hii hapa ya biashara tupo, ikumbukwe pia vyuo vikuu vya Kenya ndio huwa kwenye hizi top za Afrika.
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
7,152

Ukweli kabisa mkuu. Kenya inabeba bendera ya East Africa kwa vitu vingi sana..,
 
LightYagami

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,826
2,000
The list of top 25 Banks in Africa have just been released and East Africa is only represented by Kenya. Without Kenya, East African region would not appear in most rankings in Africa. The first bank from East Africa to appear was KCB at number 20 with a market cap of $1,317M, the second bank is Equity Bank at number 22 with a capital of $1,096M.
Here is the performance by regions.
1. Northern Africa - 10
2. Sorthern Africa - 7
3. Western Africa - 6
4. Eastern Africa - 2
Central Africa - 0

View attachment 1837084
Mauritius ni Eastern ama Southern Africa?
 
Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
7,152
2,000
Hata kiuchumi sisi ndio wawakilishi wa Afrika Mashariki dhidi giants wengine Afrika

2826275_Screenshot_20210701-155251.png
Tanzania walikua number 10, walienda wapi tena? hawa world bank na imf sio watu wazuri, ni mabeberu, hawapendi tanzania 😂 😂 😂 .., lakini waliwaweka lower mido income pia licha ya kuwatoa kwa orodha ya top 10..,😂😂😂
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
15,060
2,000
The list of top 25 Banks in Africa have just been released and East Africa is only represented by Kenya. Without Kenya, East African region would not appear in most rankings in Africa. The first bank from East Africa to appear was KCB at number 20 with a market cap of $1,317M, the second bank is Equity Bank at number 22 with a capital of $1,096M.
Here is the performance by regions.
1. Northern Africa - 10
2. Sorthern Africa - 7
3. Western Africa - 6
4. Eastern Africa - 2
Central Africa - 0

View attachment 1837084
Apo halina ubishi KCB Na Equity Banks ukwasi wakuzidi...ilaaa look at no1 the gap is so huge
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
15,060
2,000
The list of top 25 Banks in Africa have just been released and East Africa is only represented by Kenya. Without Kenya, East African region would not appear in most rankings in Africa. The first bank from East Africa to appear was KCB at number 20 with a market cap of $1,317M, the second bank is Equity Bank at number 22 with a capital of $1,096M.
Here is the performance by regions.
1. Northern Africa - 10
2. Sorthern Africa - 7
3. Western Africa - 6
4. Eastern Africa - 2
Central Africa - 0

View attachment 1837084
Hivi Nigeria wana GDP kubwa tu mbona kwenye mali na fedha SA Wanawazidi kwa umbali sana?
Hapo hata ingekua ni kampuni zenye pesa nyingi/mitaji SA Wangeongoza...kila kitu wangeengoza
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
23,328
2,000
Hivi Nigeria wana GDP kubwa tu mbona kwenye mali na fedha SA Wanawazidi kwa umbali sana?
Hapo hata ingekua ni kampuni zenye pesa nyingi/mitaji SA Wangeongoza...kila kitu wangeengoza

Hallooo! Nigeria idadi ya watu ni zaidi ya mara tatu ya SA, hapo lazima utajiri wa watu uwe tofauti.
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
15,060
2,000
Tanzania walikua number 10, walienda wapi tena? hawa world bank na imf sio watu wazuri, ni mabeberu, hawapendi tanzania .., lakini waliwaweka lower mido income pia licha ya kuwatoa kwa orodha ya top 10..,
Wala hatupo no10 uko yuko Angola
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom