Top 20 ya wasichana wazuri afrika.

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,054
26,923
jackieappiah.jpg
1. Jackie Appiah................Ghanaian Actress.

images
2. Yvone Nelson............Ghanaian Actress.

527756_omotolacelebregion_jpgc8f41b90b9e6ca51a8f2ab8c2a93f274

3. OMOTOLA JELADE a.k.a OMOSEX..............NOLLYWOOD ACTRESS.

images
4. genevive Nnaji...Nollywood Actress.

jokatebc.jpg
5. Jokate Mwegelo, Tanzanian Model & Entrepreneur.

n719178379_1193590_9574%5B1%5D.jpg

6. Nancy Sumari.................Former Miss Tanzania/Miss World Finalist turned model & Entrepreneur.

Nadia-Buari1.jpg
7. Nadia Buhari...........A Ghanaian Actress.

Juliet-Ibrahim-Short-Hair.jpg

8. Jullieth Ibrahim................Ghanaian Actress.

universe7_gallery__278x400.jpg

9. FLAVIANA MATATA..................Tanzanian International Supr Model.

k-lynn.jpg

1o. Jacqueline Ntuyabiliwe............Miss Tanzania 2000.

618w_angola_leila_lopes.jpg

11. Leila Lopez..................Miss Universe Angola.

lee-ann-liebenberg-b3ffb.jpg

12. Lee ann Liebenberg.........................South Africa.

May%20(Mai)%20Kassab.jpg

13. Mai Kassab .....................Egypt.

929388_5156150287_a10f79ea76_z_jpg777ce3a341798a3e132600da728aa786

14. Nasra Ali................Kenyan Journalist.

117584_mmiss_niger_jpgc577fd291452359888ac506bafd6db06

15. Miss Guinea Conakry 2010.

Nisiwe mchoyo, nafasi ya 16-20 nawaachia wana jamvi wengine watiririke.

MY TAKE : WANAWAKE WAZURI WA KIAFRIKA NI WAZURI KULIKO WANAWAKE WA RACE YOYOTE ILE DUNIANI....
 
au unamaanisha maarufu?kuna wazuri wengi hawaoonwa na huyo reporter.
 
Acording to LIKUD international celebrity news

Hao ni wanao julikana, wapo wasio julikana ambao pengine waweza kuwa wazuri kuliko hao, but siwezi kuweka picha zao hapa mtandaoni kwa sababu za kiethics. Unaweza kuweka maoni yako pia.
 
mmh ni wazuri na warembo lakini kaburi halichagui wabaya na kuwaacha wazuri!!! walikuwepo akina Cleopatra lakini ibaki historia! Huko Ukerewe alikuwepo binti mrembo isivyo kawaida, aliitwa Dorica...aliuawa kinyama wakati akiwa Chuo cha ualimu Murutunguru...ikabaki historia na walio hai wakatunga wimbo kusifia uzuri wake!
 
au unamaanisha maarufu?kuna wazuri wengi hawaoonwa na huyo reporter.

HAYO NI MAONI YANGU BINAFSI, BASED ON MY PERSONAL RESEARCH ....Hao ni wanao julikana, wapo wasio julikana ambao pengine waweza kuwa wazuri kuliko hao, but siwezi kuweka picha zao hapa mtandaoni kwa sababu za kiethics. Unaweza kuweka maoni yako pia.
 
mmh ni wazuri na warembo lakini kaburi halichagui wabaya na kuwaacha wazuri!!! walikuwepo akina Cleopatra lakini ibaki historia! Huko Ukerewe alikuwepo binti mrembo isivyo kawaida, aliitwa Dorica...aliuawa kinyama wakati akiwa Chuo cha ualimu Murutunguru...ikabaki historia na walio hai wakatunga wimbo kusifia uzuri wake!

R.I.P unaweza kutupa kisa chake kwa undani? kwanini aliuwawa? mapenzi ama ? tudadavulie kaka.
 
Dorica aliumbika kwa sura na uzuri. Wanaume walimtamani na kumtaka kimapenzi. Dorica aliwachanganya wanaume...akatongozwa na bahati mbaya akashindwa kuwa na msimamo wa kuwa na mpenzi mmoja! Wanaume wakatambuana kuwa wanashea kinu kimoja, ndipo wakapanga mipango ya mauaji! Mmoja wao alikwenda Chuo akamtoa out kumbe kulikuwa kuna njemba zimebana mahali. Alicharangwa mapanga na kutenganishwa viungo kama ng'ombe. kila kiungo kilichokatwa kilitupwa mbali na kingine! Kwa ufupi hiyo ndo story. Ukiwapata watu wa huko walioenda umri watakwambia habari hiyo maana ni miaka mingi sana imepita!
 
jackieappiah.jpg
1. Jackie Appiah................Ghanaian Actress.

images
2. Yvone Nelson............Ghanaian Actress.

527756_omotolacelebregion_jpgc8f41b90b9e6ca51a8f2ab8c2a93f274

3. OMOTOLA JELADE a.k.a OMOSEX..............NOLLYWOOD ACTRESS.

images
4. genevive Nnaji...Nollywood Actress.

jokatebc.jpg
5. Jokate Mwegelo, Tanzanian Model & Entrepreneur.

n719178379_1193590_9574%5B1%5D.jpg

6. Nancy Sumari.................Former Miss Tanzania/Miss World Finalist turned model & Entrepreneur.

Nadia-Buari1.jpg
7. Nadia Buhari...........A Ghanaian Actress.

Juliet-Ibrahim-Short-Hair.jpg

8. Jullieth Ibrahim................Ghanaian Actress.

universe7_gallery__278x400.jpg

9. FLAVIANA MATATA..................Tanzanian International Supr Model.

k-lynn.jpg

1o. Jacqueline Ntuyabiliwe............Miss Tanzania 2010.

618w_angola_leila_lopes.jpg

11. Leila Lopez..................Miss Universe Angola.

lee-ann-liebenberg-b3ffb.jpg

12. Lee ann Liebenberg.........................South Africa.

May%20(Mai)%20Kassab.jpg

13. Mai Kassab .....................Egypt.

929388_5156150287_a10f79ea76_z_jpg777ce3a341798a3e132600da728aa786

14. Nasra Ali................Kenyan Journalist.

117584_mmiss_niger_jpgc577fd291452359888ac506bafd6db06

15. Miss Guinea Conakry 2010.

Nisiwe mchoyo, nafasi ya 16-20 nawaachia wana jamvi wengine watiririke.

MY TAKE : WANAWAKE WAZURI WA KIAFRIKA NI WAZURI KULIKO WANAWAKE WA RACE YOYOTE ILE DUNIANI....
Duh! Namba 6 na 14 balaa! Kumbe Africa tuna hazina namnahii?
 
Dorica aliumbika kwa sura na uzuri. Wanaume walimtamani na kumtaka kimapenzi. Dorica aliwachanganya wanaume...akatongozwa na bahati mbaya akashindwa kuwa na msimamo wa kuwa na mpenzi mmoja! Wanaume wakatambuana kuwa wanashea kinu kimoja, ndipo wakapanga mipango ya mauaji! Mmoja wao alikwenda Chuo akamtoa out kumbe kulikuwa kuna njemba zimebana mahali. Alicharangwa mapanga na kutenganishwa viungo kama ng'ombe. kila kiungo kilichokatwa kilitupwa mbali na kingine! Kwa ufupi hiyo ndo story. Ukiwapata watu wa huko walioenda umri watakwambia habari hiyo maana ni miaka mingi sana imepita!

Da inasikitisha sana
 
Nikiiona hiyo list yani napata huzuni .....Africa nzima wazuri ni hao tu....jamani tusidanganyane na wala sio kwamba naona donge, neither Jokate nor Flaviana is beautiful
 
Kidoti na Matata ni wazuri tuache utani.
Naona hata tabia zao pia.
Ingawa kidoti alichafuliwa kidogo na dymond, lakini alichukulia yote kwa busara kubwa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom