Top 20 Tanzanians wanaokimbiza mamtoni....

Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,440
I THINK WE SHOULD COME UP WITH TOP 20 TANZANIANS LIVING ABROAD WHO HAVE MADE IT.

MEANING THEY HAVE GRADUATED FROM UNIVERSITY AND THEY HAVE GOOD JOBS, WASTAARABU, MFANO WA KUIGWA NA WATANZANIA WENGINE WANAOISHI ABROAD.

source;U Turn Blog

Najiuliza kuna mafanikio gani kuishi nje ya nchi unapigana vikumbo na mabilionea na ww kujiona milionea/bilionea ama mwenye mafanikio ili hali kuna ndugu zako umewaacha tz hohe haye hata wengine wamekosa karo na sare za shule?.
 
Mambo ya kishangingi waachie wenyewe kule U=turn wanakoona kuolewa na wazungu ni sifa huku tunajua wao ni malaya wa kutupwa!! Wakina mama wa janvi hili ni wale wenye heshima zao sio kama wa kule.
 
aki update na huku nako mna update akifuta huku namtakuwa msha fanya archive

safi sana...nimeona strategi hiooo

lol

nice one

halafu huyu sister aliye graduate from Uni ndio ana uwezo wa ku succeed?
 
mange ni fisadi kweli. ukiweka watu waliofanikiwa kweli kweli anabania. anataka waislamu tu...... kuna wakaka kibao marekani na UK ambao wako juu kinoma lakini wapi anabania. tusubiri tuone listi yake alafu sisi pia tuweke yetu compare and contrast.. kuna kijana UCLA medical school, neuro surgion, mwingine nasa, Goldman Sachs, benki nyingine kubwa ambao nina uhakika hawatawekwa kabisa
 
kwanini mtu ufake lyf?..lets face the reality we are living in a heavily indepted poor country
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom