Top 20 Richest Countries In Africa 2018 Based On GDP Per Capita - NaijaQuest.Com

tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,254
2,000
Kulingana na report hii Africa mashariki bado ni masikini zaidi,haipo nchi hata moja tunaweza kujiuliza na kujijibu wenyewe tunakwama wapi
 
Msapere

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
3,164
2,000
Kulingana na report hii Africa mashariki bado ni masikini zaidi,haipo nchi hata moja tunaweza kujiuliza na kujijibu wenyewe tunakwama wapi
Buda sourcce yenyewe NAIJAQUEST Unaiamini ebu tumia world bank ama IMF na uache Kujiabisha hapa
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
14,254
2,000
Buda sourcce yenyewe NAIJAQUEST Unaiamini ebu tumia world bank ama IMF na uache Kujiabisha hapa
Kwahyo mashirika mengine hayaruhusiwi kabisa kutoa takwimu zao?
Labda huelewi maana ya kujiabisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom