Top 11 Game...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
salaam wakuu,
nimeanza juzi kuicheza hii game ya top 11 ila nimetokea kuikubali sana. Its a soccer game ambayo unacheza kama manager though ni simulation only lakini you can play league with friends and also have friendly matches, etc. like everything in real-life soccer. Uzuri ipo katika several platforms, kwenye pc unaweza kuicheza kupitia facebook apps, kwenye android inapatikana kwenye google play store so far sijajua kwenye iOS ila bila shaka itakuepo. Kwa wale wakuu ambao tayari wanaicheza tukutane pale.
 
nimecheza modern warfare 2 lakini ninapofika kwenye mission fulani gemu linakata na kudisplay black until urestart computer unapokuja kurestart gemu linaleta message hii

Capture-0009.PNG

salaam wakuu,
nimeanza juzi kuicheza hii game ya top 11 ila nimetokea kuikubali sana. Its a soccer game ambayo unacheza kama manager though ni simulation only lakini you can play league with friends and also have friendly matches, etc. like everything in real-life soccer. Uzuri ipo katika several platforms, kwenye pc unaweza kuicheza kupitia facebook apps, kwenye android inapatikana kwenye google play store so far sijajua kwenye iOS ila bila shaka itakuepo. Kwa wale wakuu ambao tayari wanaicheza tukutane pale.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom