Top 100 best Hospitals in Africa: Kenya and Uganda dominate East Africa.

are they not enough??and do you think 9 onky are enough..??maybe what are you trying to prove?..the best thing i know is kwa nchi zote hizo viongozi,wanasiasa na wafanyabiashara wakiugua huwa wanaenda kutibiwa ulaya na marekani!!
 
So you want us to believe Webometrics? and what methodology did they use?

I am looking at number 33 they mentioned "Evangelical Lutheran Church of Tanzania Health" which is not even a hospital..
 
Nimeona eti Evangelical Lutheran Church Health,

Dah sijui ni Kitu hani hiki, Hiyo Evangelical Lutheran haiexist,
Halafu wakaja na Hydom Hospital na Sereani zote za Arusha halafu zote hizo huwezi linganisha hata na Kairuki Hospital au hata Mission Rabininsia ya Dar,
Hawa jamaa wako Very Ignorant leo ndio nimejua,
Ndio hawa hurank kile chuo cha Kenya best in East Africa, Hovyo kabisa

Mbona hawajaweka The Aga Khan Hospital Nairobi?

Hawajaona hata haya kuweka Hydom, Hospitali ya Kawaida kabisa wakaacha JKCI? Si bora hata wangeweka Consolata Mission ya Njombe au St Gaspar ya Singida Kuliko hizo Hydom na Hiyo Lutheran ambayo hata haiexist??
 
FB_IMG_15466020347241899.jpg
FB_IMG_15466019862579485.jpg
 
So you want us to believe Webometrics? and what methodology did they use?

I am looking at number 33 they mentioned "Evangelical Lutheran Church of Tanzania Health" which is not even a hospital..
Hawa wakenya wengine wakudharau tu ndugu
wanaokoteza vitu vya hovyo ukitumia akili kutafakari unaona kabisa ni utumbo
Kwa upande wa afya Hakuna nchi yakuigusa Tanzania Ukanda huu never
 
Kenya has 9 hospitals in the top 100 while Uganda has 6.

What is wrong with Tanzania though? Just 4?
It is not the numbers that matter but rather the quality of services and its cost effectiveness.
We now have a number of kenyans and uganda flocking to Muhimbili hospital.
 
Nimeona eti Evangelical Lutheran Church Health,

Dah sijui ni Kitu hani hiki, Hiyo Evangelical Lutheran haiexist,
Halafu wakaja na Hydom Hospital na Sereani zote za Arusha halafu zote hizo huwezi linganisha hata na Kairuki Hospital au hata Mission Rabininsia ya Dar,
Hawa jamaa wako Very Ignorant leo ndio nimejua,
Ndio hawa hurank kile chuo cha Kenya best in East Africa, Hovyo kabisa

Mbona hawajaweka The Aga Khan Hospital Nairobi?

Hawajaona hata haya kuweka Hydom, Hospitali ya Kawaida kabisa wakaacha JKCI? Si bora hata wangeweka Consolata Mission ya Njombe au St Gaspar ya Singida Kuliko hizo Hydom na Hiyo Lutheran ambayo hata haiexist??
You're mad your hospitals are useless.
 
Tumia akili yako, Nadhani the best private Hospital in Kenya, In terms of Healthcare services and delivery is The Aga khan, Right? Hapo ndio Tundu lisu aliletwa,
How comes hiyo Kijiado iko ranked ahead of Aga khan?
Aga Khan is not the best private hospital in Kenya. Diani Beach Hospital is. Stop being stupid.
 
Hivi mleta mada unaelewa hata hizo ni rank za nini? au umekurupuka tu
 
Back
Top Bottom