LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 14,937
- 26,638
No.1: Unahumuhusu mzee mmoja msomi na mwalimu wa chuo kikuu. Degree yake ya pili na ya tatu alisomea Uingereza kisha akarudi bongo. Watoto wake alikuwa anawalea kizungu sana. Infact mmoja kati ya watoto wake alikuwa classmate wangu shule ya msingi.
Huyu watoto wake wa kiume kumtukana tusi la mama ilikuwa jambo la kawaida sana.
Watoto wake walikuwa wanaenda kuchukua malaya sinza au mademu wa mtaani wanawagonga usiku kucha halafu ikifika asubuhi demu ana elekezwa aende kugonga chumbani kwa baba apewe hela yake baba akifungua demu anasema anaomba hela alilala na ( jina la mtoto husika ).
Baba akiambiwa hivyo anazama ndani anatoa hela anampa demu kisha anarudi zake kulala.
Source: x wa mmoja kati ya watoto wa mzee huyo ambae aliwahi kuwa demu wangu wa kusafishia rungu.
Wewe umewahi kushuhudia jambo gani? Share with us ur story