Top 10 richest people in Tanzania (orodha ya matajiri 10 Tanzania)

ndio tujue sisi weusi tulivyo mamburulaz, watu wanakuja na kushika utajiri sisi tunafuatilia mabifu ya akina king kiba na diamond
Fikra zetu zilikuwa ni za kimaskini, tuna ogopa rangi yao, tuna wakweza kwamba wao ni kila kitu...sasa na sisi tumeamka! Lakini usimwamshe aliye lala asije akakurudisha kwenye usingizi!
 
Za kuambiwa changanya na zako zen toa maamuz be4 posting so mm nachukua ulichosema nachambua zen akili kichwani mwangu about it BT nahis ntapata jibu in backward impact
 
Sie weusi tuliambiwa na wazazi wetu tusome vitabu hivyo kupoteza opportunity ya kutengeneza pesa katika umri mdogo kupitia biashara.
Ukitoka hapo na midigrii yako unaishia kuajiriwa benki kwa mshahara wa laki nane. Mpaka uje umalize kununua kitanda au kujenga vyumba viwili tayari umeshafika miaka 40! Utatajirika saa ngapi?
Duh...... Acha basi
 
Mi naona hapo kuna mTanzania mmoja tu, hao wengine watafutie nchi. Big up Mengi!

Ila.mjifunze kitu kwa hao wahindi; hakuna hata mmoja aliyewahi kuwa mtumishi wa umma serikalini.
Cc: Andrew Chenge ; B.W Mkapa; J.M Kikwete; D.Yona ; B.Mramba; na wengine.
Huwezu kutajirika kwa kuwa mtumishi..., sanasana utafanya ufisadi halafu utaishia stress za kutumbuliwa
 
Hivi kuwa mtanzania mpaka uwe mweusi ? Sasa wambulu na wairaki asili yao wapi? Ni upumbavu kuwa mtanzania sio Rangi ni Kuzaliwa au kuomba Uraia ,sasa mbona kuna watanzania weusi huko nje wanauraia wa nchi kama sweden ,norway nk na wao wanitwa wa Swedesh kama kikosi cha kifaransa wengi wao wameazlia au wameomba Uraia sasa kuwa Mhindi au Mwaraabu au Mzungu haijalishi huo ni ubaguzi mbovu sana sasa mbona hao hao wahindi kina MANJI MNAWATAKA KUWA SAIDIENI TIMU ZENU HAMSEMI KAMA WA NJE AU MO DEWJI ni ujinga sana kuwa na tabia ya UBAGUZI hebu fikiria umezaliwa mweusi katika nchi ya wazungu na umepewa uraia kama Obama na kawa RAIS sasa ikitokea Mhindi wa Tanzania kugombea URAIS NI HAKI YAKE KAMA MTANZANIA mbona wako wabunge WARAABU NA WAHINDI JEE HAMSEMI KAMA ETI SIO WABONGO HIO NI DHARAU SANA KUWA MWEUSI PIA KAMA HUJAZALIWA AU HUNA URAIA NI MTU WA NJE NA UKIONEKANA UTASHITAKIWA KUINGIA BILA PASSPORT
 
Sie weusi tuliambiwa na wazazi wetu tusome vitabu hivyo kupoteza opportunity ya kutengeneza pesa katika umri mdogo kupitia biashara.
Ukitoka hapo na midigrii yako unaishia kuajiriwa benki kwa mshahara wa laki nane. Mpaka uje umalize kununua kitanda au kujenga vyumba viwili tayari umeshafika miaka 40! Utatajirika saa ngapi?
Mkuu kwa taarifa yako usije dhani hawa jamaa hawajasoma.Dewji ana shahada ya uzamili yaani masters ya uchumi kutoka chuo kikuu cha George Town Marekani.Mengi ana udaktari wa falsafa lakini amesomea Wingereza chartered account
 
Kuna familia za kisukuma wana ngombe zaidi ya mil kumi hamuwajui tu kwenye hizi record zenu, chukulia kila ngombe ni Tshs 200,000/=

10,000,000 times 200,000 = 2,000,000,000,000

Divide by 2300 to get USD = 869,565,217.

$867m.
Kinachowasibu wasukuma ni elimu ila kiukweli wana utajiri wa asili nawavulia kofia
 
Back
Top Bottom