MswahilI ni Mengi peke ake
Kwani mswahili ni nani?
MswahilI ni Mengi peke ake
Kwenye familia zao ndiyo asili yao. Jiulize swali Moja tu Mkuu kwamba Wahindi na Waarabu tunasoma nao wote Primary hadi Secondary lakini mbona Vyuo vikuu wako wachache sana ina maana hawafaulu. Na je mbona wachache au hakuna kabisa kwenye kazi za serikali au kilimo.Wamefundishiwa wapi?
Mkuu nyuma ya Dweji yupo Gulamabbas Dweji huyu ndo mzee wke na mwenywe sema watu wengi hawamjui ndo anatakiwa akae top na kuna kipindi yeye ndo alikuwa anatoa mishahara ya...........................................They're said to be the biggest tycoon richest men in Tanzania
Mohammed Dewji MO
Rostam Aziz
Said Salim Bakhressa
Reginald Mengi
Ally Awadh
Kannabar
Subash Patel
Ghalib Salim Mohammed (GSM)
Fida Hussein Rashid
Hawa Ndio wanamiliki utajiri mkubwa zaidi hapa kwetu Tanzania.
Mengi ana mgodi tanzanite kila siku anatoa tuu.ana mgodi dhahabu handeni.ipp ni magazet ndio yalikuwa hayatoi faida lakin kabadilisha mfumo na kupunguza wafanya kazi saiv ni mifaida tuuMengi hapo kaingia kimakosa hana lolote maneno tuu.Ana kiwanda cha soda Bonite tuu!Media ina run kwa hasara hana faida pale!pia hana vifaa kama vya Azam Media
Baba lao hapo Bakhresa hao wengine sii wawekazi bali wapigaji tuu.Bagamoyo sugar Azam is coming soon
Mengi hapo kaingia kimakosa hana lolote maneno tuu.Ana kiwanda cha soda Bonite tuu!Media ina run kwa hasara hana faida pale!pia hana vifaa kama vya Azam Media
Baba lao hapo Bakhresa hao wengine sii wawekazi bali wapigaji tuu.Bagamoyo sugar Azam is coming soon
HaahhahaBora tuseme wahindi tu
Riz1 nae kawekeza hapo,ccm ndipo wanapopitishia mabomu yaoMkuu nyuma ya Dweji yupo Gulamabbas Dweji huyu ndo mzee wke na mwenywe sema watu wengi hawamjui ndo anatakiwa akae top na kuna kipindi yeye ndo alikuwa anatoa mishahara ya...........................................
Hakuna mgodi mkubwa wa tanzanite zaidi ya ule wa Tanzania One unaomilikiwa na Balozi Ami Mpungwe (local investor).Mengi ni publicity tuu hana kitu.Kuna wasukuma wa Shinyanga wenyewe huwa pesa wanaweka tuu benki hawajawahi ku draw kuzitumiaMengi ana mgodi tanzanite kila siku anatoa tuu.ana mgodi dhahabu handeni.ipp ni magazet ndio yalikuwa hayatoi faida lakin kabadilisha mfumo na kupunguza wafanya kazi saiv ni mifaida tuu
Mkuu, hao wahindi wametajirika kwasababu ya ccm.
Viongozi wengi wa serikali ya ccm walikuwa wakiiba, wanaenda kuficha kwa hao wahindi na waarabu. Kwasababu ndiyo wenye kuweza kuwatunzia siri nk.
Pia wivu na roho ya kwanini, ikawafanya wasijaribu kunufaisha weusi wenzao.
Haina maana kuwa wahindi siyo corrupt, na kwamba hawa kutumika na mafisadi wa ccm kuficha pesa. Acha kuona watu mazuzu wewe! Hata waingereza walishagundua hilo kitambo tu!Acheni chuki bana, ubaguzi ndio huu sasa!
Fuatilia hata huko America kama wahindi wana mafanikio katika biashara au la! Na uzuri jamaa biashara za maduka wanazipenda kweli , so ukiona huku wana maduka basi usidhani maduka wanafanyia huku tu
Wahindi USA,Britain n.k kote huko ni wafanya biashara wenye mitaji mikubwa na utajiri, biashara ya maduka makubwa hawafanyii bongo tu, nchi nyinginezo huko nako wanafanya biashara hii hii ya maduka
Tufanyeni kazi kwa bidii na maarifa, Tuache kuatafuta mchawi
Huyu jamaa amewekeza zaidi kwny sector ya kilimo na fedha, Ana mashamba makubwa sana ya chai, mkonge, korosho nk. Pia Ana viwanda vya kusindika chakula na vijywaji baridi.Jamani mimi mwenzenu utajili wa MO bado sijauelewa kabisaaaa. Mwenye details anifafanulie.
Umelaaniwa mwenyewe mkuu,Mimi na mengi tuko fresh tuHii orodha inadhibitisha kuwa ngozi nyeusi imelaaniwa.Kazi yetu kuonea watu wivu,kushabikia mabaya,umbeya,ngono siku nzima,michepuko,wizi wa vitu vidogo vidogo kama mihogo au ndala,omba omba ilhali tuna mikono na miguu,kuonesha watu dharau kwasababu ya ka mshara ka laki tano kwa mwezi,uzembe iliyo kidhiri,starehe kila siku,mabosi kunyanyasa wadogo zao ofisini... kwa mambo haya kweli tuta tajirika?
ndio tujue sisi weusi tulivyo mamburulaz, watu wanakuja na kushika utajiri sisi tunafuatilia mabifu ya akina king kiba na diamondNa wamekuja na pen tu mkononi!
Na Mchaga mmoja.Mbona ni wahindi tu?