Top 10 most beautiful women soccer players in the world

Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
14,007
13,799
Habari wana jf,
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Mchezo wa soka umezidi kuwa maarufu zaidi duniani.Umeendelea kupendwa kwa wingi na watu wa jinsia zote si wanaume si wanawake.Pia huchezwa na watu wa jinsia zote.
Leo tuko zaidi kwa wanawake(wanaume waweke kando kwanza).Tumezoea kuwaona Dada zetu wacheza mpira hasa huku kwetu Africa katika condition isiyo ya kuvutia(sura na umbo).Wengi wao si wazur kivile.
Mambo ni tofauti kwa wenzetu mambele.
Nisikuchoshe;...,

TOP 10 MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD(FOOTBALLERS)
10.Natalise Vinti (Mexico)
Natalie-Vinti-Mexico.jpg

9.Hope Solo (USA)
Most-Beautiful-Female-Soccer-Players-Hope-Solo.jpg

8.Sydrey Leroux(USA)
Most-Beautiful-Female-Soccer-Players-Sydney-Leroux.jpg

7.Julia Simic(Germany)
Julia-Simic-Most-Beautiful-Female-Soccer-Players.jpg

6.Jonelle Filigno(Canada)
Most-Beautiful-Female-Soccer-Players-Jonelle-Filigno.jpg

5.Ellyse Perry(Australia)
Ellyse-Perry-Beautiful-Female-Soccer-Players.jpg

4.Anouk Hoogendijk(Netherlands)
Anouk-Beautiful-Female-Soccer-Players.jpg

3.Lauren Seisselmann(Canada)
Lauren-Sesselmann-Beautiful-Female-Soccer-Players.jpg

2.Nayeli Rangel(Mexico)
Nayeli-Rangel-Hot-Footballer.jpg

1.Alex Morgan(USA)
Alex-Morgan-Long-Wavy-Cut.jpeg
Screenshot_2017-12-18-21-16-04.png

Your ideas please
Welcome
 
kwa usa soccer aka football ndio mchezo unaochezwa na wanawake wengi kuliko yote... ikifuatiwa na basketball....

wao wana kitu kinaitwa title 11.... ambao unawabeba sana wanawake kupata scholarships za vyuo vikuu sababu ya soccer..

kwa marekani ni rahisi zaidi kupata scholarship kama mwanamke unacheza mpira kuliko ukiwa mwanaume unaecheza mpira

so kuna warembo kibaooo usa wanacheza soccer umweaacha...

ndio maana hiyo listi yako unakuta wengi ni wa canada, wa mexico na wamarekani.. ambapo ni nchi zilizo karibu karibu north america.. huko north america wadada wanacheza soka toka utotoni huko sababu ina fursa ya elimu bure
 
Kucheza soka toka utotoni Ulaya ndo makonkodi
Ukweli ni kuwa North America wana watoto visu sana hasa USA,Mexico, Canada, Cuba na hata S.America nchi ka Venezuela
 
je hapo nimeongelea wanaume au wanawake?? kwa wanawake usa yupo vizuri kuliko ulaya.. narudia tena wanawake sio wanaume

Kucheza soka toka utotoni Ulaya ndo makonkodi
Ukweli ni kuwa North America wana watoto visu sana hasa USA,Mexico, Canada, Cuba na hata S.America nchi ka Venezuela
 
Back
Top Bottom